Tafakuri ya wasanii juu ya wabunge 19 wa CHADEMA

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,601
94,726
Wasanii wetu hawakubakia nyuma juu ya sakata la Wabunge wa CHADEMA waliojipeleka bungeni kuapishwa.

Hebu tazameni hii picha ili tuijadili kwa maendeleo ya taifa letu.

Screenshot_20201130-134411.jpg
 
Kwangu mimi huyu mshikaji ni fundi wa vyoote yaani kuchora na kuibua wazo
Huyu mwamba ni underrated rapper anakuambia kwenye takwimu pekee ndio unapopanda uchumi

Moja ya mistari yake

Mpaka wanyama pori wanatoroshwa wakiwa hai, ukiendelea kulala watatoroshwa mpaka wamasai.../

Mwanajeshi pigania haki na sio maslahi, maana wanyonge tunanyongwa na wanaonyonga tai.../

Hii ni sauti ya geto, inayokuomba mwanajeshi uoneshe uwezo.../

Japo sio rahisi kufanya mwenyewe ka nyeto, ila okoa taifa lako kwa ulicho kipata depo.../

KMwanajeshi amka unasema unatulinda wakati nchi inauzwa"
 
Yupo njema
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom