Tafakuri ya Picha: Yanayoendelea nchini Tanzania

Tafakuri ya Picha: Yanayoendelea nchini Tanzania

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,823
Reaction score
140,862
lover.jpg
21271337_1530766856967192_7691713399069650340_n.jpg



Nini maoni yako,picha zina-reflect nini

Watu wengi wako bize na mambo yasiyo na msingi hasa mitandaoni huku maisha yao yanazidi kuchongwa

Nb: sakata la zilipendwa na seduce me watu wanasahau kulima shamba.
 
tunanyolewa

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Naogpa kusema ntapimwa mkojo

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Cha ajabu kabisa watu wamekaririshwa kazi ni kwenda kulima tu.
 
Kama Waterloo naona vile vile watu hasa vijana ni bora liende hawajui nchi inaangamia na wao hawana hata uwezo wa kupinga, kukemea wala badili linalonendelea sababu ni wale wale wengi wanaishi na wazazi mpaka sasa na wazazi ndo wale wale wa ndiyoooooo! wale wasiyo ndiyo wapo kwenye mikokoteni, boda boda , bajaji au kuuza vitu. walioibuka wanakuta wapo wenyewe, watafanya nini watu wawili? Twafa
 
Watu wamefundishwa uoga na wakafundishika. Kuna wachache wanaojaribu kupambana na hali lakini wanapitiwa na kinyoleo ili kunyamazishwa, kilichobaki watu ni kulalamikia mitandaoni bila kuchukua hatua zozote
 
Back
Top Bottom