Tafakuri ya Asubuhi

Mungu atabaki kuwa Mungu! Haya ndiyo maswali ambayo binadamu hata ajipasue ubongo kiasi gani,hana jibu zaidi ya kuja na Nadharia tu!
 
Mungu atabaki kuwa Mungu! Haya ndiyo maswali ambayo binadamu hata ajipasue ubongo kiasi gani,hana jibu zaidi ya kuja na Nadharia tu!
NI VYEMA KILA MUDA TUPATE NAFASI YA KUTAFAKARI MAAJABU YA Mungu
 
bado natafakari jinsi wanavyojisaidia
 
Mungu ni muaminifu siku zote na kila akiumbacho kinafaida mbele za mboni na ubongo wetu.Utukufu ni wake yeye pekeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…