Tafakuri;masikini nchi na wananchi wenzangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafakuri;masikini nchi na wananchi wenzangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MVUA GAMBA, Jun 29, 2011.

 1. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana Jf Nimekaa na Kufikiri sana Hoja ya wabunge wa CCM wakitetea Posho baada ya Tafakuri nimeweza kufikia katika hii Tamati.

  Wabunge wetu wamekua wakituaminisha sisi wananchi wao watatuletea maendeleo,matokeo yake Tukajenga wananchi tegemezi kwa Wabunge ,Wabunge nao wakaamini Fedha Italeta maendeleo wakawa Tegemezi katika Fedha na Fedha hizo hupatikana Kupitia POSHO,SEMINA na WARSHA, kutoka serekalini,Tukajenga BUNGE tegemezi kwa serekali,Baaada ya hapo Serekali nayo ikaamini kuwa ili ilete maendeleo FEDHA ni msingi wa maendeleo kwakuwa fedha haitoshelezi inabidi Kuomba misaada kwa wafadhili Matokeo yake Serekali nayo ni Tegemezi HENCE tumejenga Wananchi tegemezi kwa wabunge,Wabunge Tegemezi ktk Fedha toka serekalini,Serekali tegemezi kutoka Fedha za wafadhili hili litatutesa na litaumiza Taifa letu.
   
Loading...