Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,850
- 34,300
Hivi huyo aliyeko nyuma yake ni nani?
Honey..Hivi huyo aliyeko nyuma yake ni nani?
Ndivyo ilivyo bunge ni sehemu ya serikaliMmmh kipanya punguza speed kidogo usilewe sifa
Huyo 'honey' ndo nani?Honey..
Nadhani atakua Job Ndugai huyo. Naibu spika aliposema Honey usintingishe akimaanisha asirudi bungeni wakati huu yeye akiwa kwenye mapambano na wapinzani.Huyo 'honey' ndo nani?
Mhh, JN ndo honey!? We acha hizoNadhani atakua Job Ndugai huyo. Naibu spika aliposema Honey usintingishe akimaanisha asirudi bungeni wakati huu yeye akiwa kwenye mapambano na wapinzani.
Huyo ni mwandishi huruHivi huyo aliyeko nyuma yake ni nani?
Uchwara. ...!
Mkuu kumwita honey sio kamaanisha kuwa mpenzi. Neno honey linaweza kutumika kama mtu unataka akupe tension kwa unachotaka kusema. hata bibi au rafiki wa kike anaweza kukuita honeyMhh, JN ndo honey!? We acha hizo
Hivi huyo aliyeko nyuma yake ni nani?
Huyo 'honey' ndo nani?
Wangeshamlipua kitambo sana..Hawanaga masihara wale viumbeIngekuwa kule kwa wanaojitoa muhanga huyu supika sijui kama angekuwa ............ hadi leo.