Chief Isike
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 445
- 462
- Thread starter
- #21
Mbona hukuuliza uhalali wa rais kutangaza siku tatu za maombolezo???
Watoa misaada walimuona rais akiwa ameguswa na kutangaza maombolezo hivyo wakaona ni busara kumfariji kwa kutoa kwa wafiwa kupitia kwake, sioni cha kuanza kuhoji hapo........labda kama msaada hautafika hapo ndipo uhoji.
Mkuu ukinisoma vyema, nimesema tutafakari tu pamoja, wala sijasema mambo ya legality wala illegality. Nisome vyema mkuu, tunaweza kuwa pamoja tu kaka. Lakini wapo kibao walioguswa na wakapeleka msaada wao wa hali na mali huko huko. Zikiwemo serikali za mataifa mbalimbali.