Tafakuri Jadidi: Nani Anamwelewa Magufuli?

Tafakuri Jadidi: Nani Anamwelewa Magufuli?

Kiukweli wanaomuelewa ni wengi isipokuwa tu hawana access na mitandao kama hivi..hawa wasiomuelewa ni wachache na siku zote huwa hawaelewi..hata miaka iliyopita hawakumuelewi jk wakasema wanataka mabadiliko jk amefeli..ni hawa hawa leo hii wanasema bora jk..ndio maana magu huwa anawapuuza..hawana madhara kabisa
Hawana madhara katika inchi ambayo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wakurugenzi ni wateule wa raisi.
 
Retired,
Kuna mengine ya msingi kabisa, mathalan kansa ya rushwa na ufisadi. Migogoro ya ardhi na wakubwa wachache kuhodhi maeneo makubwa ya ardhi bila hata kuyatumia. Tuna uhalisia ifikapo 2050 tuna watazanzaia milioni mia moja. Mifano iko mingi, juzi tu mambo ya ajabu tumeshuhudia pale Magereza. Tuliowapa dhamana ya kusimamia waliotenda uhalifu nao wanatenda uhalifu kwa kuhujumu mali ya umma, mfano wa kugawa tenda za sare za jeshi uraiani na wanajeshi kujinunulia sare. Sikuwahi kufikiri kuwa hilo linatendeka katika nchi yetu.
Ni sawa, lakini kwa mwandishi kama wewe tunayekuamini na weledi wako, ungelienda zaidi ya hapo. Hakuna anayeweza kusema hakuna zuri la Mkuu, hata Amini kuna mazuri aliyafanya lakini yakafunikwa na maovu aliyowafanyia waganda. Ndiyo maana uandishi wako nimeuita siyo analytical and philosophical. Wewe ni nguli wa kutafakari mambo tena ya kisiasa!
 
Mimi nimekaribisha mjadala. Wewe umeanza kumshambulia mtoa hoja. Ni yale yale ya siku zote.
Mjadala uliokaribisha unakera Sana, kila mtu anajua lengo la rais ni kukomoa wananchi.
Kuua mzunguko wa pesa ndo urithi wa kikazi kijacho?
Maggid umechemka na huja hoja hapa, uhakiki gani mwaka mzima watu Hawana ajira?
Huoni kilio cha watanzania kila kona halafu unasifia nini?
Nyie ndo Wachawi, kizazi gani kinaandaliwa Kama tuliopo tunataka kufa Kwa maisha magumu? Maggid watu wa aina yako mnakera Sana.
 
Kaka, kwa heshima zote.Hivi waliofanya manunuzi ya MV. Bagamoyo nani mbona hatisikii wakikemewa na kuchukuliwa hatua? Barabara ya kutokea morocco kuelekea mwenge tayari imeshaanza kuonyesha ishara za kwamba haikujengwa kwa kuzingatia ubora unaopaswa, mbona hatusikii haya yakizungumzwa?Ya Lugumi ni kwanini yalizimwa? Kusiwe na double standards katika kuchukua hatua katika mambo yaliyo na maslahi kwa taifa.
Majjid kachemka. Waandishi wanatafuta vyeo, wakimuona yule wa ITV yuko Handeni roho zonauma!
 
Ni sawa, lakini kwa mwandishi kama wewe tunayekuamini na weledi wako, ungelienda zaidi ya hapo. Hakuna anayeweza kusema hakuna zuri la Mkuu, hata Amini kuna mazuri aliyafanya lakini yakafunikwa na maovu aliyowafanyia waganda. Ndiyo maana uandishi wako nimeuita siyo analytical and philosophical. Wewe ni nguli wa kutafakari mambo tena ya kisiasa!

Retired,

Ndivyo nilivyo, naandika ninachoamini nikijua kuna wenye kutofautiana nami, wengi kwa kusukumwa na mitazamo ya itikadi na wengine kwa mitazamo yao tu. Hatuwezi kufikiri sawa sawa. Na mimi ni muumini wa fikra huru na uhuru wa kutoa mawazo. Sijawahi kuficha hilo. Shida yetu wengi ni kutaka kusoma tunavyovipenda. Kusikia tunavyopenda kusikia. Mwanadamu wakati mwingine uwe na ujasiri wa kusoma hata usivyopenda kusoma, na kusikiliza hata usivyopenda kusikia. Hiyo pia ni maana ya demokrasia. Soma sifa hizo nilizompa Yahya Jamme wa Gambia na chanjo ya demokrasia kwa Afrika..http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/29050-yahya-jammeh.html#.WEP887IrLIU ameonyesha mfano wa kuigwa.
 
Majjid, sijakushambulia, wewe ni mwandishi wa siku nyingi. Una heshima kubwa ya kuandika reasoned arguments, Nilitegemea andiko ambalo liko well reasoned looking at the merits and demerits of this regime! Analytical one , tena philosophical one. You have not hit the target this time! Umemsikia Moses wa Star Tv jana katika Jicho letu ndani ya habari! Anasema tamko la Rais ni HALALI hata kama linasigina na kuvunja Katiba na sheria za nchi! Avoid such kind of posts/writings!
No way! He is only looking for it,cause wenzake wote waliyopata just walked the same path he is going into! Tusidanganyane bana!!
 
Utaeleweka na wachache sana usife moyo si kosa lao ndio maana yule jamaa kwa kujua hilo aliwaambia elimu,elimu,elimu ndio vipaumbele vyake. Uchumi wa nchi ulikua kama deci so tulikua tunapesa nyingi lkn nje ya sistimu ingefika wakati serikali kushindwa kulipa watumishi.
 
Diva asante sana!
Mwandishi huyu anasikitisha sana anazunguka wee anaremba kitu hata kisichorembeka, huo si ndo unaa wenyewe jamani kwanza nchi hatuna waandishi Bali tunao makanjanja waliofeli huko.
 
1480851038741.jpg
 
Retired,

Ndivyo nilivyo, naandika ninachoamini nikijua kuna wenye kutofautiana nami, wengi kwa kusukumwa na mitazamo ya itikadi na wengine kwa mitazamo yao tu. Hatuwezi kufikiri sawa sawa. Na mimi ni muumini wa fikra huru na uhuru wa kutoa mawazo. Sijawahi kuficha hilo. Shida yetu wengi ni kutaka kusoma tunavyovipenda. Kusikia tunavyopenda kusikia. Mwanadamu wakati mwingine uwe na ujasiri wa kusoma hata usivyopenda kusoma, na kusikiliza hata usivyopenda kusikia. Hiyo pia ni maana ya demokrasia. Soma sifa hizo nilizompa Yahya Jamme wa Gambia na chanjo ya demokrasia kwa Afrika..Yahya Jammeh; ameonyesha mfano wa kuigwa.
Perfect, nakubaliana na wewe sana. Lazima tuzibue masikio tusikie hata tusiyoyapenda. Kuna uandishi tunaoutegemea kutoka kwako. Jina lako ni kubwa. Kumbuka humu JF kuna watu wa aina zote. Some of them have critical minds, inquisitive ones etc! Uandishi wa habari is a profession kama Udaktari wa binadamu. Kuna uandishi ambao kama wewe nguli tutakuhoji kwa masikitiko. Dakitari akimpa mgonjwa flagil ( ukimeza flagil ukanya pombe unakufa instantly- ) akamwambia kuwa unaweza onja pombe kidogo, TUTAHOJI! TENA KWA NGUVU. Wewe ni professional journalist!
 
Majjid si rahisi watu kukuelewa. Kuna watu Magufuli kagusa maslahi yao. Hao hata kama Magufuli angefanya nini they will never forgive him. Kwa hiyo hata kama wakiandika humu ni emotions tuu zinawatawala. Ndo maana watakushambulia wewe baadala ya kushambulia hoja. Lakini ukweli utabaki kwamba MAGUFULI is challenging the status quo. And many people especially the privileged ones will never like it.
 
Utaeleweka na wachache sana usife moyo si kosa lao ndio maana yule jamaa kwa kujua hilo aliwaambia elimu,elimu,elimu ndio vipaumbele vyake. Uchumi wa nchi ulikua kama deci so tulikua tunapesa nyingi lkn nje ya sistimu ingefika wakati serikali kushindwa kulipa watumishi.
The Phylosopher, asante, bahati njema mimi si mgeni sana na aina ya mijadala ya majukwaani huku, ni tangu enzi za mtandao wa Tanzanet, nilikuwa mwanachama huko pia miaka ya 90. Hii mijadala ya majukwaa haya ni muhimu sana, nami nasoma kila kinachoandikwa, ndio namna nzuri ya kufahamu kilicho kwenye fikra za watu. Na ni mengi ya kujifunza kutoka kwa wachangiaji, kama ilivyo kwa mengi mengine ya kuyapuuza tu. Maisha lazima yaende mbele.
 
Maggid huwa nakwambia na sitaacha kukwambia,
Njaa yako ya tumboni imehamia kichwani so unashindwa kureason kabisa.
 
Majjid si rahisi watu kukuelewa. Kuna watu Magufuli kagusa maslahi yao. Hao hata kama Magufuli angefanya nini they will never forgive him. Kwa hiyo hata kama wakiandika humu ni emotions tuu zinawatawala. Ndo maana watakushambulia wewe baadala ya kushambulia hoja. Lakini ukweli utabaki kwamba MAGUFULI is challenging the status quo. And many people especially the privileged ones will never like it.
Hapana, hakuna humu JF ma-tycoon sidhani kama wapo wanapost, humu ni watu wa kawaida. Anasigina Katiba, hilo hamlioni. Kwa nini amekataza mikutano ya kisiasa ambayo imeruhusiwa na katiba. Be objective please!
 
Back
Top Bottom