Mwenyewe nani?Kweli mwenyewe aliondoka nayo.....
Mkombozi...Mwenyewe nani?
Unamaanisha hakutokua na ukombozi tena?Mkombozi...
Labda 2050 huko....Unamaanisha hakutokua na ukombozi tena?
Ulinzi wa kura niachieni mimi!!
Naona mmejipanga kijasiliamali zaidi
Najua mtaandamana humu humu JF
Naomba kujua hii ukivaa hutokamatwa kwa kile kipengele pendwa na elekezi cha uchochezi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Najua mtaandamana humu humu JF