Uongozi ni ushawishi. Uongozi siyo kutegeana, kutegeshana, kunyemeleana na kufukuzana. Na uongozi siyo vitisho au mikwara. Kiongozi anayeishi kwa vitisho ni kiongozi aliyeshindwa hoja. Hili ni kweli kwa vyama vile vile; chama kinachoishi kwa vitisho kimeshindwa hoja. Tafakari
- Ndio maana nilisema Zitto, Mwanakijiji na Dr. Kitila ndio wanaofaa kugombea Urais Chadema, hii ya leo inaitwa kumkoma nyani giladi!!
le mutuz
Katika watu ambao napenda kufuatilia tread zao na zina mashiko ni mwanakijiji Big up broo.ila nataka kukuuliza maswali matatu tuu.Usisome zaidi ya nilivyoandika; unaweza kuapply kwenye lolote vile.
Zitto Kabwe
Uongozi ni ushawishi. Uongozi siyo kutegeana, kutegeshana, kunyemeleana na kufukuzana. Na uongozi siyo vitisho au mikwara. Kiongozi anayeishi kwa vitisho ni kiongozi aliyeshindwa hoja. Hili ni kweli kwa vyama vile vile; chama kinachoishi kwa vitisho kimeshindwa hoja. Tafakari- MwanaKijiji
Source: Facebook
·
- Ndio maana nilisema Zitto, Mwanakijiji na Dr. Kitila ndio wanaofaa kugombea Urais Chadema, hii ya leo inaitwa kumkoma nyani giladi!!
le mutuz
True to a certain extent, lakini kama wote wanaamini hivyo, kwanini tunakuwa na situation ya CCJ, CHAUMMA? Walishindwa kushawishi na kukimbilia kwenye 'adultery ya kisiasa? Na unapokuwa na side dish i.e CHAUMMA or CCJ ndio kusema umeshinda hoja?
Uongozi ni ushawishi. Uongozi siyo kutegeana, kutegeshana, kunyemeleana na kufukuzana. Na uongozi siyo vitisho au mikwara. Kiongozi anayeishi kwa vitisho ni kiongozi aliyeshindwa hoja. Hili ni kweli kwa vyama vile vile; chama kinachoishi kwa vitisho kimeshindwa hoja. Tafakari
True to a certain extent, lakini kama wote wanaamini hivyo, kwanini tunakuwa na situation ya CCJ, CHAUMMA? Walishindwa kushawishi na kukimbilia kwenye 'adultery ya kisiasa? Na unapokuwa na side dish i.e CHAUMMA or CCJ ndio kusema umeshinda hoja?
Katika watu ambao napenda kufuatilia tread zao na zina mashiko ni mwanakijiji Big up broo.ila nataka kukuuliza maswali matatu tuu.
1. Je ukiona mkono wako au jicho lako linakokoseha na Mungu wako utafanyaje?
2.katika shamba lako langano/zabibu kukiwa na magugu atayaondoa ama utayaacha?
3.Unamfahamu Yuda iskarioti? Na madhara yake ?
Yani wewe hata ubalozi wa Nyumba kumi hufai. Yani wewe ni zero shuleni, zero kichwani na ziro kwenye familia.
Anachomaanisha mwanakijiji ni kuwa, "KUSIWE NA KANUNI WALA TARATIBU" na kama vipo visisimamiwe. Kama kanuni zikiwepo na zikasimamiwa ni lazima kuwe na uwajibikaji (kama kufukuza). MM hataki hivyo. Hiyo ndo mantiki yake. ARGUMENT YA AJABU KWELI KWELI. Kuna ulimwengu wa namna hiyo? SIO MAWAZO YA KUFIKIRIKA KWELI MM!
Mwisho wa siku hutulazimishi tuamini kwamba kila mtizamo wako ulivyo basi ndio uko sahihi, ni wewe ndio ulikuwa mpiga debe mkubwa wa CCJ kwenye Media matokeo yake chama kikafa kabla hakijasajiliwa, kuna muda tuache tutumie uwezo wetu wa kufikiri na usidhani unaweza kufikiri kwa niaba yetu, hell no.Kuna watu wana matatizo; watu wanapenda kufikiria vitu kwa upenyo mdogo sana na hii ni hatari. Kuna matukio mengi ambayo yametokea nchini na yote nimeyafikiria katika kauli hiyo hapo juu. Tumeona mwitiko wa serikali dhidi ya wananchi wa Mtwara walioandamana kuhusu suala la gesi. Mwitikio wa serikali umekuwa ni kejeli, mikwara na vitisho siyo ushawishi. Hili tumeliona huko nyumba ambapo serikali pia imetumia nguvu dhidi ya wananchi kwa sababu imeshindwa kuwashawishi.
Haya ya CDM nayo yanaweza kuwemo humo humo kwani nayo yanaonesha tatizo lile lile la kushindwa kushawishiana. Watu wanapotengeneza mitandao ambayo badala ya kufanya sapoti ya mtu yanaanza kumtega mtu, kujaribu kumwangusha au kumchafua ni kwa sababu watu hao wameshindwa hoja (na hapa nazungumzia pande zote zinazogongana - hakuna aliye salama).
Sasa mtu anaweza kujaribu kwa kutumia hoja lakini mtu asiyeweza hivi hutumia kushawishi kwa kutumia nguvu (ziwe za physical, law, procedures au hata jina lake)
Tusifikiri kidogo let think wider than personal politics.
Sijawahi kuona bondia anamuongezea lishe bora mpinzani wake ili pambano liwe zuri.
Mwisho wa siku hutulazimishi tuamini kwamba kila mtizamo wako ulivyo basi ndio uko sahihi, ni wewe ndio ulikuwa mpiga debe mkubwa wa CCJ kwenye Media matokeo yake chama kikafa kabla hakijasajiliwa, kuna muda tuache tutumie uwezo wetu wa kufikiri na usidhani unaweza kufikiri kwa niaba yetu, hell no.
Shindwa! ningetaka kusema hivyo ningesema hivyo. Ukiwa na kanuni unatumia kanuni kushawishi compliance. Kwa vile wengi mmekaa kwenye suala la CDM badala ya kufiki upana wa hoja yangu fupi niseme hivi. HIvi haya yanayotokea CDM yanakuja yakishangaza watu? Kwamba hakuna mtu aliyejua haya yakitokea? Hizo kanuni zilikuwa wapi hadi watu wanafikia mahali kuitana masalia? Miaka miwili zaidi zakubembelezana, kubebana na kuchekeana? Uongozi gani huu?
Unatafuta kuitwa msaliti, huwa hatuisemi CDM wenzio.