Ni kweli uyu kwa wale ambao sio wavivu wa kusoma tunamfaamu uwezo na falsafa zake. Ila huwa najiuliza inakuaje aina ya watu kama MMK ana uwezo wa kuifanyia analysis taasisi mf. Vyama vya siasa na akatoa ushauri mzuri tuu lakini mpe hata kata ama taasisi ya watu kumi kama ataweza kuiongoza, nliwahi soma sehemu Ngugi wa Thiong'o hata familia yake ilimshinda kuongoza, pia profile ya Karl Marx inaonesha pamoja na kuwa father of communism yet he did nothing to his family, walikufa kwa njaa.. Yupo Dr Lweitama UDSM anajua sana kufanya analysis na kukosoa sana serikali lakini nakumbuka alikua hawezi kuorganize wanafunzi wakati wa seminar udsm hata modules ilikua ni tatizo.. Au ndio tuamini msemo wa waswahili.. Mungu hakupi vyote?