Tafakari ya leo: Jomo Kenyatta alishawai kusema

Tafakari ya leo: Jomo Kenyatta alishawai kusema

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,141
Reaction score
96,167
"Waganda ni Sawa na Wagonjwa wanaweza kupona muda wowote na wakadai vyao"

"Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao"

"ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao"
 
Japo Sina uhakika kama yalisemwa hadharani LAKINI kama yalisemwa hayo kwa HAKIKA sijaona uongo ulipo!
Labda kwa ufasaha palipo na WaTanzania weka WaTanganyika!
Maiti watakapofufuka watakuta mabadiliko makubwa sana. Yaliyokuwa yao hayatakuwa halali yao! Kila kitu kitakuwa kimeuzwa kwa wasiowahusu!
 
Ogopa sanaaa hii maiti maana ikiamka inakua ni mizuka.
Sasa usichukulie poa kitu inaitwa mzuka .
Mpaka uje vilingeni ndio utapata tiba yake
 
Back
Top Bottom