Tafakari ya kipanya

Tumelima, kilimo chetu tunategemea mvua msibu huu zimegoma kuja kwa wakati, ile akiba yetu tuliuza tupate pesa ya kujikim na kulipa ada kwa nduguzo chuoni
Mkuu....
Ebu tuwe wakweli.
Kwamfano mvua zingelikua zikinyesha vizuri, je kipindi hiki ungekua umesha vuna?
Hivi jamani.... Tutaja acha kulalamika lini....
 
ahaaa sawa madam lakin ukwel ndio huo njaa kwel ipo na mifugo inakufa daily na mtu huakika wa milo 3 haupo tena sasa ni mlo mmja hatali sana hii...
Mkuu....
Jifunze kutofautisha baa la njaa na ukame.
Baada ya hapo ndipo ukuje tuendelee kubishana kwa hoja.
Kuhusu mifugo, kwanini msiiuze ili kununua chakula kwa kukabiliana na njaa?
Kama ni mtanzania kutokua na uhakika wa milo mitatu kwa siku,.... Hili lilikuepo tangia awamu zote nne zilizo pita.
 
mwenye shibe hamjuh mwenye njaa
 

Katafute kazi kwingine sio lazima serikalini.
 
We ni awaju sana serikali yenyewe ina kitengo cha kilimo,je uliwahi kusikia inamiliki mashamba ya umwagiliaji?achana na vishamba mashamba kama unafikiria ni kumwagilia kwa kutumia ndoo kama unavyomwagilia maua nyumbani
 
Katafute kazi kwingine sio lazima serikalini.

Tatizo lako unafkiri kwa kutumia makalio. Hii ni hatari sana kwa afya ya ubongo.

Aliyekwambia nataka kazi serikalini ni nani...?. Tayari nna kazi ambayo inanitosheleza kuliko hiyo ya serikali unayoishobokea.

Staki kusema labda unawashwa pengine unatafuta wa kukukuna NO ila ni ufinyu tu wa kufkiri na ndio maana unashindwa hata kuelewa wewe na MFALME JUHA wako mnaposema "MKALIME" wakati mvua hakuna hayo mazao yatapatikana vipi...?

Nani kawaambia kilimo kinaweza kuwa rahisi kihiiiivyo kama mnavyodhani...?

Punguzeni kufkiri kwa kutumia makalio aisee. Ni hatari sana.
 
ahaa sasa huamin ama kaka life gum jf tnazuga na hv v id vyetu vinatuficha kwa mengi...
Muda unao tumia kuperuzi humu jf, ungekua unaenda kutafuta hata vibarua ili upate chochote kuliko kukaa ukilalamika tu humu
 
Muda unao tumia kuperuzi humu jf, ungekua unaenda kutafuta hata vibarua ili upate chochote kuliko kukaa ukilalamika tu humu
ahaaa umeniweza leo ama njaa ipo pale pale na jf sitok ngo kama id inavokudirect 24hrs
 
Mkuu....
Ebu tuwe wakweli.
Kwamfano mvua zingelikua zikinyesha vizuri, je kipindi hiki ungekua umesha vuna?
Hivi jamani.... Tutaja acha kulalamika lini....

Ningekuwa bado sijavuna, LAKINI ningekuwa na uhakika wa mazao yangu yapo shambani, sasa shambani hakuna kitu mazao yamekauka, je nini kinakuja mbele yangu?
 
Ningekuwa bado sijavuna, LAKINI ningekuwa na uhakika wa mazao yangu yapo shambani, sasa shambani hakuna kitu mazao yamekauka, je nini kinakuja mbele yangu?
Baada ya hapo ndipo serikali itakua na wajibu wa kutangaza baa la njaa, pamoja na kuwajibika kuwasaidia wananchi
 


Kama kuna njaa kawanunulie chakula na pesa uliyokopa kuingia jf ili msife njaa.

Wanaokufa njaa waambie waende wakajiandikishe walipo, tujue wapo na mahospitali yapo wawahi wasipate magonjwa.

Na pia jua vya dezo havipo kama hawali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…