Tafakari safari ya................Nyama lazima iliwe tu....

Hii kitu ni hatari sana. Sasa mbona amechana kiasi hicho au alikuwa amelala wakamotea?
Kwenye kuchanwa sidhani kama kachanwa na simba..simba wanaua mnyama kwanza kula baadae..

Hapo labda mzee wa mizoga kamuotea maana yeye hua anakula kwanza kuua badae.
 
Back
Top Bottom