Athaminiwe na nani?Masoud ni moja ya ma genius waliokosa kuthaminiwa.
Akili za mbongo anazijua mwenyewe.Athaminiwe na nani?
Labda na serikali maana ilimwokoa alipotaka kudabuliwa na wasiojulikanaAthaminiwe na nani?
Masoud ni moja ya ma genius waliokosa kuthaminiwa.
Athaminiwe na nani?
😂😂😂😂Akili za mbongo anazijua mwenyewe.
Tafsiri ya hiyo katuni na huyo uliyemjibu akili zao zinafanana.
Serikali ilimwokoa wapi na wasiojulikana kwanini wamteke Kipanya mpaka aokolewe na serikali ?Labda na serikali maana ilimwokoa alipotaka kudabuliwa na wasiojulikana
Wabongo wengi akili zao ni ndogooo, hawana taarifa, si wafuatiliaji wa mambo ya msingi na ni wavivu wa kujisomea LAKINI wanajifanya wanajua KILA KITU.Mmoja anieleweshe nimetoka kapa
Hahaha na kwa bahati mbaya wanasikilizwa na kuaminiwaWabongo wengi akili zao ni ndogooo, hawana taarifa, si wafuatiliaji wa mambo ya msingi na ni wavivu wa kujisomea LAKINI wanajifanya wanajua KILA KITU.
Nadhani anamaanisha kuwa Watu wanalishanana ndimu sana vijiweni/uraiani..Mtu anaongea vitu kwa komfidensi hata kama hajui..Mmoja anieleweshe nimetoka kapa
Umenielewa vibaya bro check niliyemquote then tucheke pamojaSerikali ilimwokoa wapi na wasiojulikana kwanini wamteke Kipanya mpaka aokolewe na serikali ?
Ooh ahsanteNadhani anamaanisha kuwa Watu wanalishanana ndimu sana vijiweni/uraiani..Mtu anaongea vitu kwa komfidensi hata kama hajui..
Na bila kusahau kuishi kwa MATUMAINI koko.Hahaha na kwa bahati mbaya wanasikilizwa na kuaminiwa
Athaminiwe na nani?
Itabidi iwe hivyo.Labda na serikali maana ilimwokoa alipotaka kudabuliwa na wasiojulikana
Hizo ni zile story za vijiweni sasa hapo wanachambua taarifa kwenye kijiwe cha kahawa.Mmoja anieleweshe nimetoka kapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akili za mbongo anazijua mwenyewe.
Tafsiri ya hiyo katuni na huyo uliyemjibu akili zao zinafanana.
Sahihi kabisa √Wabongo wengi akili zao ni ndogooo, hawana taarifa, si wafuatiliaji wa mambo ya msingi na ni wavivu wa kujisomea LAKINI wanajifanya wanajua KILA KITU.