realsam
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 289
- 135
MENDE ATAKUWA NI NANIMende kasababisha Kabati livunjwe
MENDE ATAKUWA NI NANIMende kasababisha Kabati livunjwe
Kwako wewe umeelewa nini mkuu?Je ni kweli kama alivyomaanisha kipanya katika hiki kibonzo au anazidisha chumvi?
Inamaana kipanya haonagi jema?Ndo uhalisia wenyewe
Kuielewa sanaa ni fikrabashiiiiiiiiiiiiiiiiiite!!
Kwenye hii sirikali ropokozi na kurupuzi ulitegemea nini???Lazima kabati livunjwe kumsaka mende!Jamaa kashindwa kutumia akili kupambana na mende badala yake imetumika nguvu ambayo imepelekea kabati ambalo ni thamani sana zaidi ya mende KUVUNJWA.
"AKILI NI BORA KULIKO NGUVU" Sirikali anatumia nguvu sio Akili
Mende kasimama hapo kama matatizo yaliyo ndani ya kabati (nchi) yaani matatizo haya ni mfano wa mende na ipo njia sahihi ya kuyatoa matatizo hayo kabatini kuliko njia aliyotumia huyo "sirikali"kumtoa mende huyo.MENDE ATAKUWA NI NANI
halafu mende kakimbia kamwacha atafakari ninunue kabati nyingine au nitengeneze hiiJamaa kashindwa kutumia akili kupambana na mende badala yake imetumika nguvu ambayo imepelekea kabati ambalo ni thamani sana zaidi ya mende KUVUNJWA.
"AKILI NI BORA KULIKO NGUVU" Sirikali anatumia nguvu sio Akili
Kwamba sirikali yetu inatumia nguvu kubwa katika mambo madogo tu, kama kuvunja kabati ili ummalize mende.Kwako wewe umeelewa nini mkuu?
Kwamba sirikali yetu inatumia nguvu kubwa katika mambo madogo tu, kama kuvunja kabati ili ummalize mende.Kwako wewe umeelewa nini mkuu?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sirikali "ropokozi" safi sana hili neno ni zaidi ya neno sahihi.Kwenye hii sirikali ropokozi na kurupuzi ulitegemea nini???Lazima kabati livunjwe kumsaka mende!
Kwamba sirikali yetu inatumia nguvu kubwa katika mambo madogo tu, kama kuvunja kabati ili ummalize mende.Kwako wewe umeelewa nini mkuu?
Shauri yako utafatwa mwenyewe [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mbona mende bado yupo acha uchokozi kwa sirikalihalafu mende kakimbia kamwacha atafakari ninunue kabati nyingine au nitengeneze hii
akigeuka memnde kakimbiaShauri yako utafatwa mwenyewe [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mbona mende bado yupo acha uchokozi kwa sirikali
Nacheka hapa!alianza kufukua madude wakisema bashii jamaa anaufyata ha hahaha
ha hahaha hatari imekuwa kama mtu kashika korodoni halafu anakuambia ukikohoa naminya ha hahaha ha haNacheka hapa!