Tafakari na Kipanya

mangi anadai
magu anataka
HESLB wanakata
TUICO nao hawako mbali
PSPF/LAPF/PPF/GEPF hawakuachiii
NMB/CRDB/ ndo kila mara wanaangalia acc yko
Mama lwakatale na shule zake amekupigia simu au kutuma email
wife ye anataka kusuka na kuvaa tu
na mengine meeeeengi kwanini mshahara ukutane na kwasababu gani
Mkuu umesahau kuweka na ile bajeti....au mwaka huu hatuhongi
 
watanzania kama akili na ufikiri huu tungetumia kwenye kuanzisha baadhi uwekezaji aisee tungekuwa mbali mnoooo,
we are so talented
nani anataka kung'olewa meno na kucha???
yule aliyegundua helkopta mbeya huko wapi???
yule makenika kaparata aliyetengeneza gari lake gongo la mboto yuko wapi??
vipi yule wa morogoro alietengeneza silaha kwa kutumia local tools???
aisee hunitakii mema...
 
nani anataka kung'olewa meno na kucha???
yule aliyegundua helkopta mbeya huko wapi???
yule makenika kaparata aliyetengeneza gari lake gongo la mboto yuko wapi??
vipi yule wa morogoro alietengeneza silaha kwa kutumia local tools???
aisee hunitakii mema...
kwanini unakuwa negative minded bro???,
huwezi kurusha ndege bila vibali vya anga,
huwezi endesha gari bila kuwaona TRA
huwezi kumiliki silaha bila kumwona kamanda siro
nenda VETA oer MUST then introduce hivyo vitu uone kama hawachukui IDEA zako sometime tujifunze hata kwa wenzetu UZA IDEA yako pahala panapo stahili

Binafsi sina uwezo wa kutangaza lakini ninauwezo wa kuandaa vipindi vya redio na TV nimenufaika kuwaizia wahusika vipindi na vinaruka hewani na hata wewe unavisikiliza
 
Na mishahara ya waheshimiwa je!?

68296ec6312d30a4f425b3e5f7469b30.jpg
 
Salary in the whole world is just like Menstruation to Women, It comes once every month and disappear within three days
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom