Tafakari na Kipanya

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
2,558
6,091
68296ec6312d30a4f425b3e5f7469b30.jpg
 
haiwez kukutana kwasababu zifuatazo...
1..wiki ya kwanza ya mshahara anakula KUKU..
2..wiki ya pili anaanza kula product za KUKU(mayai)..
3..wiki ya tatu anaanza kula vyakula vya KUKU(mahindi,mchele,dagaa n.k)
4..wiki ya nne yeye mwenyewe ndo anakuwa KUKU yan ni mwendo wa kuzurura tu...
Kwa hali hiyo mishahara itakutana vipi????
am just kidding....
 
watanzania kama akili na ufikiri huu tungetumia kwenye kuanzisha baadhi uwekezaji aisee tungekuwa mbali mnoooo,
we are so talented
 
Hakuna nchi imemaliza madeni hivi tunavyoongea...mi nani bhana
mangi anadai
magu anataka
HESLB wanakata
TUICO nao hawako mbali
PSPF/LAPF/PPF/GEPF hawakuachiii
NMB/CRDB/ ndo kila mara wanaangalia acc yko
Mama lwakatale na shule zake amekupigia simu au kutuma email
wife ye anataka kusuka na kuvaa tu
na mengine meeeeengi kwanini mshahara ukutane na kwasababu gani
 
Back
Top Bottom