Tafakari na hii picha

Kutathimini hii kitu sio kitu lelemama......hapo ninaona msomi mwafrika akijaribu kutoka mbio za maendeleo huku akimvuta mzungu, bila shaka pembeni ni mzungu mshindani wake, akiwa kwenye gari ya wazungu wenzake wanampa sapoti..........nasubiri wengine waje kufanya brain storming, mpaka tutaelewa.
Msomi ni mzungu pia.Ila hichi kibonzo sema kimeweka characters wazungu ila hata kwa waafrika applied

May Allah bless Me and You
 
Haya ni mashindano ya m mbio za maisha,jamaa mwenye tai amenyoosha bastola juu ili race ianze.Kibonge yuko kwenye usafiri (yeye atakuwa amekaa tu kwenye bonnet gari lakini nduki yake ni speed ya gari),huku upande wa pili ndio nipo mimi,yaani jasho lishaanza kunitoka kabla hata mbio hazijaanza.Wale wenzetu wanaokuwa na back up(familia ambazo ziko vizuri kiuchumi,zenye michongo(connections) na zikiwa supportive) wanamteremko fulani kuyafikia mafanikio haraka na bila ya kusota ila huku kwetu(side B) it a completely different story.Kwanza connections ni issue,then ukibahatika kuwa unaingiza kipato,you'll be in for a big shock.Halo ndio utajua wahenga waliposema extended family walikuwa na maana gain,utakuwa kama umebeba gunia la misumari kabla hata haujaanza kujenga familia yako mwenyewe.Ila bado haimaanishi hawezi kushinda mbio hizo,ila ujiandae kutoka jasho kweli kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom