Tafakari na hii picha

Tafakari na hii picha

The Icebreaker

Platinum Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
39,733
Reaction score
123,630
tempFile_2017-07-21-21-18-48.jpg
 
Kutathimini hii kitu sio kitu lelemama......hapo ninaona msomi mwafrika akijaribu kutoka mbio za maendeleo huku akimvuta mzungu, bila shaka pembeni ni mzungu mshindani wake, akiwa kwenye gari ya wazungu wenzake wanampa sapoti..........nasubiri wengine waje kufanya brain storming, mpaka tutaelewa.
 
hawa ni wanafunzi wawili walianza mbio za kukimbiza maisha mmoja ni mtoto wa masikini na mwingine ni wa kitajiri, wanaanza safari pamoja(assumption wamemaliza chuo pamoja) , ila huyu wa kimasikini mbio zake za kukimbiza maisha zina mzigo nyuma yaani wazazi wake hii inaakisi yeye atachelewa kufika destination point ili hali yule wa kitajiri anaanza mbio huku wazazi wake wakimpa sapoti ili kumaliza mbio za kutafuta maisha mapema

mawazo yangu hayo mkuu
 
Nimekuelewa mnoo
 
huyo graduate anataka kukimbizana na mfanyabiashara ambaye ana assist ya gari, nani atashinda?
 
hawa ni wanafunzi wawili walianza mbio za kukimbiza maisha mmoja ni mtoto wa masikini na mwingine ni wa kitajiri, wanaanza safari pamoja(assumption wamemaliza chuo pamoja) , ila huyu wa kimasikini mbio zake za kukimbiza maisha zina mzigo nyuma yaani wazazi wake hii inaakisi yeye atachelewa kufika destination point ili hali yule wa kitajiri anaanza mbio huku wazazi wake wakimpa sapoti ili kumaliza mbio za kutafuta maisha mapema

mawazo yangu hayo mkuu
Nimekuelewa bro
 
Safi sana mkuu
 
Kutathimini hii kitu sio kitu lelemama......hapo ninaona msomi mwafrika akijaribu kutoka mbio za maendeleo huku akimvuta mzungu, bila shaka pembeni ni mzungu mshindani wake, akiwa kwenye gari ya wazungu wenzake wanampa sapoti..........nasubiri wengine waje kufanya brain storming, mpaka tutaelewa.
Thanks mkuu umeeleweka vema kabisa.
 
Mim tafakar yangu ni kuwa hapo kuna watoto wawili,mmoja ni msomi na ametoka kwenye familia duni na pia mwingine siyo msomi ila ametoka kwenye familia ya kitajiri.
Wote hawa watoto wana lengo moja kupata mafanikio katika maisha yao.
Sasa kulingana na picha hii inaonyesha ni jinsi gani mtoto wa masikin mwenye elimu inavyomuwia vigumu kufanikiwa haraka ktk maisha yake kwa sababu anao mzigo nyuma unaomtegemea,na wakati ni tofauti na mtoto wa tajiri hata ambae hana elimu yoyote ila atapata support kutoka kwa wazazi ili kufikia malengo yake.

Of course haya mambo yapo for example Africa,kuendelea kwa mtoto wa kutoka familia duni ni vigumu sana kutokana na extended families zetu.

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
hawa ni wanafunzi wawili walianza mbio za kukimbiza maisha mmoja ni mtoto wa masikini na mwingine ni wa kitajiri, wanaanza safari pamoja(assumption wamemaliza chuo pamoja) , ila huyu wa kimasikini mbio zake za kukimbiza maisha zina mzigo nyuma yaani wazazi wake hii inaakisi yeye atachelewa kufika destination point ili hali yule wa kitajiri anaanza mbio huku wazazi wake wakimpa sapoti ili kumaliza mbio za kutafuta maisha mapema

mawazo yangu hayo mkuu
Ahsante!

acha uongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom