Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
Wote tunakubali kuwa maamuzi ya kikokotoo ni Mazuri kwa wastaafu wote. Lakini Kuna kitu inabidi tukitafakari kwa kina tusijekuwa tumeingizwa chaka :
1. Ni nani aliyeandaa Maandamano ya wafanyakazi jijini Mwanza? Je, ni nani aliyechapisha mabango? Ni nani aliyewakusanya sehemu moja na kwa wakati mmoja?
2. Ni nani aliyemjulisha mkuu wa Mkoa kuweka utaratibu mzuri wa kupokea Maandamano?
3. Ni nani aliyeomba kibali polisi ili wapate ulinzi wakati wa Maandamano?
Tusipokee taarifa kwa juu juu. Haya mambo yanaweza kuwa planned.