Tafakari: Maandamano ya Kumpongeza Rais

Tafakari: Maandamano ya Kumpongeza Rais

Nijuavyo mimi maandamano yamepigwa marufuku mpaka 2020!
Ndio maana wakulima wa korosho walipotaka kuandamana kusini,JPM alisema wangepata kipigo cha mbwa koko tena angeanza na shangazi wa PM![/QUOTE Kwa hili naona ni kama ruksa si anapongezwa Mkuu. Kungefanyika maandamano mengine ya kuwaonfoa kina Jenista huo muziki ungebalance vizuri
 
Wote tunakubali kuwa maamuzi ya kikokotoo ni Mazuri kwa wastaafu wote. Lakini Kuna kitu inabidi tukitafakari kwa kina tusijekuwa tumeingizwa chaka :

1. Ni nani aliyeandaa Maandamano ya wafanyakazi jijini Mwanza? Je, ni nani aliyechapisha mabango? Ni nani aliyewakusanya sehemu moja na kwa wakati mmoja?

2. Ni nani aliyemjulisha mkuu wa Mkoa kuweka utaratibu mzuri wa kupokea Maandamano?

3. Ni nani aliyeomba kibali polisi ili wapate ulinzi wakati wa Maandamano?

Tusipokee taarifa kwa juu juu. Haya mambo yanaweza kuwa planned.
Haya mafanyakazi ni masenge na hayajielewi.Unasitishaje sheria uliyokwisha isaini na inafanyakazi? Hajali nyongeza ya mshahara,hayajali makato ya bodi ya mikopo .Yapo yapo tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee umetisha mzee baba nakupa good critical na like za kutosha aisee
Kwani tamko la Rais lilitoka saa ngapi na maandamano yakaanza saa ngapi. Je muda ulitosha kwa wafanyakazi waliokuwa maofisini kujikusanya au la. Je haikujulikana kuwa viongozi wa wafanyakzi wanakutana na Rais kwa jambo hilo. Kama yalijulikana kwa nini tuwe na mashaka kwa jambo lililokuwa na mwamko mkubwa. Tafakari pia hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mchezo wenye akil tushajua kua wanacheza na akil za watz...
Hii haina tofaut na wananchi kusimamisha msafara wa rais na akasimama


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom