kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
duh, yupo kimya sana basi....! hadi tunamsahau!!!hahahah, ila mzee Stephano Wasira bado unakula ugali hajatutoka!!!
duh, yupo kimya sana basi....! hadi tunamsahau!!!hahahah, ila mzee Stephano Wasira bado unakula ugali hajatutoka!!!
teh teh teh.....Mkuu umechanganya madesa
haya wangu, karibu!Nimekufolo, hahahahahaahah
bado....Tayari si umeona kijumbe?
Aisee ona aibu,Kodi gani we unalipa. Pili. Walizuia wenyewe. Kwa maamuzi yao. Lakini La msingi wanasiasa wako hivyo Leo na daima. Lakini nyie mkimpata mtu Wa kazi hana siasa. Bado mnarudi kule kule. Wanafiki. Do not TRUST WTZ wa MITANDAONI. VIGEUGEU. VINYONGA NA MUCH KNOW. watu wana namna hii maishani ni wapole. Wajinga. Wanachezewa sana na wake na wanaume zao. Sio waongeaji.
nimeona...hahhahhah, sio kweli. enewei najua tayari kila kitu kimekaa biyeeeeeeeeeeeee.
Misukule ya lumumba itakuja kusema kuna editing imefanyika....