donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Ni halisi mkuu, Ni Hali halisi ya viongozi wetu pindi wanapokua bungeniMkuu salama,
Hii ni halisi au ni zile zenye utundu wa photoshop?
Hawana Habari na kinachoendelea.
Aliyezuia Bunge live alituweza na amewapa uhuru wa kucheza na kodi zetu.
Hawana Habari na kinachoendelea.
Aliyezuia Bunge live alituweza na amewapa uhuru wa kucheza na kodi zetu.
hawa wote ni marehemu sasa... wapumzike wanapostahili....
Acha utani ww unamtabiria mzee Wasira kifo!hawa wote ni marehemu sasa... wapumzike wanapostahili....
Mkuu Mh. Wassira a.k.a Tyson alifariki lini?hawa wote ni marehemu sasa... wapumzike wanapostahili....
au nimechanganya,.....?Mkuu Mh. Wassira a.k.a Tyson alifariki lini?
hahahah, ila mzee Stephano Wasira bado unakula ugali hajatutoka!!!hawa wote ni marehemu sasa... wapumzike wanapostahili....
Wanajua wachangie wasichangie pochi neneWengine wanapiga umbea wengine wanapigana picha..wakitoka hapo posho ya kutosha wananchi wanateketea
Mkuu umechanganya madesaau nimechanganya,.....?
Kw raha zaoWanapiga selfie wale wadada kule nyuma