Tafadhari natafuta mchumba(wa kike) seriously.

Tafadhari natafuta mchumba(wa kike) seriously.

Mr rockman

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Nafanya hivi baada ya kupumzisha kichwa changu kwa kipindi kirefu kidogo baada ya kufanyiwa mambo ya ajabu na aliyekuwa mchumba, namanisha natafuta mchumba mi mwanaume wa miaka 36,elimu chuo, kimo changu cha kati c mrefu wala mfupi,na muajiriwa, nimefungua account kwa kusudi la kosolve tatitizo langu hili naamini atakaye patikana kwa njia hii atakuwa committed zaid kwa usiano, kwa dada aliyetayari tuma private msg nitajibu,asantent wapedwa,ila awe mkirito mcha Mungu maana mimi ni mkirito
 
Nafanya hivi baada ya kupumzisha kichwa changu kwa kipindi kirefu kidogo baada ya kufanyiwa mambo ya ajabu na aliyekuwa mchumba, namanisha natafuta mchumba mi mwanaume wa miaka 36,elimu chuo, kimo changu cha kati c mrefu wala mfupi,na muajiriwa, nimefungua account kwa kusudi la kosolve tatitizo langu hili naamini atakaye patikana kwa njia hii atakuwa committed zaid kwa usiano, kwa dada aliyetayari tuma private msg nitajibu,asantent wapedwa
nipe namba yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom