tafadhari mkaz wa dar,baba,mama,dada ,kaka,usipite pasipo kunisoma

tafadhari mkaz wa dar,baba,mama,dada ,kaka,usipite pasipo kunisoma

Joined
Mar 21, 2013
Posts
23
Reaction score
3
u hali gan mtanzania
mwenzangu..napenda
kutanguliza shukran kwa wewe
kufungua thread hii ambayo
lengo lake ni kukwambia
kilichonisibu na wewe kunipa
ushauri au msaada husika na
cyo vinginevyo.me ni kijana wa
kiume 23yrs..nina elim ya
chuo,nilikuja dar kufatilia nafas
ya kaz katika kampuni moja
hapa dar,ni baada ya wao
kuniita lakin ajabu nimefika
wananiambia nafas waliyoniitia
ishapata wa kuifanya,cwez eleza
nilivyoumia na mbya zaid
nilikuja na pesa kidogo 2,baada
ya mda mfup
zitaniishia.nimejaribu ku2ma
maomb sehem tofau na hakuna
majibu
niliyoyapata.NIMEDHAMIRIA
KUFANYA KAZ YOYOTE NA
POPOTE
PATAKAPOPATIKANA.NAKUOMBA
DADA ,KAKA,BABA,MAMA UISHIYE
DAR.KAMA UNA KAZ YOYOTE
WAWEZANIPATIA,NIKO
TAYAR,HATA KAZ YA NYUMBANI
NTAIMUDU COZ NI MCHAPA
KAZ,MWAMINIFU NA MPISH MZURI
SANA.NI PM .ahsanten
 
pole sana na jipe moyo,vuta subira watafika muda si mrefu kukupa majibu.
 
Pole sana! Kwanini ucfanye mpago wa kurudi nyumbani! Au na nauli umemaliza?! Muombe Mungu pia atakusaidia
 
Pole sana! Kwanini ucfanye mpago wa kurudi nyumbani! Au na nauli umemaliza?! Muombe Mungu pia atakusaidia

mim ni mtoto wa kiume,kurud nyumban cjaweka kama wazo la kwanza,cuz natafuta maisha so naweza fanikisha hata nikiwa huku.cjavunjika moyo,naamin ni changamoto 2 katka maisha
 
.nimedhamiria
kufanya kaz yoyote na
popote
patakapopatikana.nakuomba
dada ,kaka,baba,mama
uishiye
dar.kama una kaz yoyote
wawezanipatia,niko
tayar,hata kaz ya nyumbani
ntaimudu coz ni mchapa
kaz,mwaminifu na mpish
mzuri
sana.
 
mim ni mtoto wa kiume,kurud nyumban cjaweka kama wazo la kwanza,cuz natafuta maisha so naweza fanikisha hata nikiwa huku.cjavunjika moyo,naamin ni changamoto 2 katka maisha

Penye nia hapakosi njia ,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nenda pale chuo kikuu cha dar es salaaam kwa wana mazingira wanawezako kukupatia kazi
 
Ingekuwa Australia ni kibaha ningekushauri uje tuungane huku kazi nying sana; min $20/hr
 
Pole na hongera kwa kutokata tamaa an that's how a man's supposed to be an i hope one day u'll make it,wish u the best bro.
 
Back
Top Bottom