wanaume bwana.ukipewa fasta,mnalalamika.mkicheleweshewa mnalalamika.hamueleweki.unadhani ukipewa fasta mwanamke ndio mcharuko?hapo ndio mnakosea.unaweza ukacheleweshewa wakaonjeshwa wengine.mcharuko ni tabia tu ya mtu
Kula laki kabisa, wanaume huwa hamna jema. Ushamba tu na ulimbukeni kuamini eti ukikubaliwa mapema basi mwanamke atakuwa mgawaji....Wanaume sisi hatuna jema ukisumbuliwa sana utasema kwani upo peke yako ukipewa haraka haraka ili usiende kwengine unaleta uzi hapa.
Mkuu huwezi kujua huyo dada amekuwa akikupigia hesabu kwa muda gani, pengine amesikia wapo wengi wanakufuatilia ndio maana akaona akuwahi yeye ili akumiliki kabisa.
Kula laki kabisa, wanaume huwa hamna jema. Ushamba tu na ulimbukeni kuamini eti ukikubaliwa mapema basi mwanamke atakuwa mgawaji....
leo ndio nimegundua kumbe tunazungushwa tukidhani wametulia kumbe wanawagawia wengine kirahisrahis tu
Wapo wazungushaji na wanagawa sana tu, wapo wasiozungusha na hawagawi ovyo. sasa nashangaa alipokuja na formular yake ambayo haijahakikishwa.....
It is non of ya.........we upo kundi gani?
It is non of ya.........
wanaume bwana.ukipewa fasta,mnalalamika.mkicheleweshewa mnalalamika.hamueleweki.unadhani ukipewa fasta mwanamke ndio mcharuko?hapo ndio mnakosea.unaweza ukacheleweshewa wakaonjeshwa wengine.mcharuko ni tabia tu ya mtu
Hivi unajua mapenzi hayana formula? Just imagine, wakati wewe anakuzungusha kuna mtu anampenda yeye ndo anasubiria mambo kama yatakaa fresh akueleze ukweli, akitemwa huko ndo anarudi full kwako na wewe unatoka kifua mbele kwa wenzako unajisifu huyu mwanamke mgumu sana, nimeteseka sana kumpata.
Kukubali mapema au kuchelewa kukubali hakumpandishi au kumshusha thamani mwanamke, kama akikubali mapema ni malaya, je akikutongoza utamwitaje? Huo ni ufinyu wa fikra.
Kula laki kabisa, wanaume huwa hamna jema. Ushamba tu na ulimbukeni kuamini eti ukikubaliwa mapema basi mwanamke atakuwa mgawaji....
Unauliza majibu??
Ni kweli kwamba wanaume tuna tamaa,ni kweli kwamba
tuta tumia kila ujanja ili tuwapate haraka iwezekanavyo.
Lakini si kweli kwamba ukinikubali haraka basi nitachukulia kwamba ndo
ume nipenda saaaaana. Ina maana tofauti sana.
Huyu mtu alikua kwenye radar ya jamaa (alikua haja mtamkia wala kuchat nae).
Siku alipo anza kuchat nae,kesho yake walikutana na jamaa akaonja.
So sad,hata kama ulikua wa thamani na una jiheshimu,kuachia chup** mapema
kuna kufanya uonekane mtu wa aina nyingine kabisa.
Please,usije kuni kubali haraka,nisumbue sumbue sana tu.
Kwa mfano kama mimi ukinikubali itakuwa siri yangu wala sitaleta uzi JF.Kula laki kabisa, wanaume huwa hamna jema. Ushamba tu na ulimbukeni kuamini eti ukikubaliwa mapema basi mwanamke atakuwa mgawaji....
Mwambie huyo amekurupuka bila kufanya utafiti wa kutosha.Wapo wazungushaji na wanagawa sana tu, wapo wasiozungusha na hawagawi ovyo. sasa nashangaa alipokuja na formular yake ambayo haijahakikishwa.....
Halafu wewe huwa unaniachaga hoi kwa hoja zako.mi tunamalizana siku hiyo hiyo .hutaki unaacha,kwanini kumaliziana vocha bwanaaa!