katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Kama umetoka leba huruhusuMtoto wako anaweza akalelewa na mwanaume mwingine na wewe ukalelea wa mwanaume mwingine ukijua ni wakwako pia.
Kama umetoka leba huruhusuMtoto wako anaweza akalelewa na mwanaume mwingine na wewe ukalelea wa mwanaume mwingine ukijua ni wakwako pia.
Jamani ai wewe??Ohhh sikuhizi nna mapenzi tu. Pesa sina
Jamani ai wewe??
Mtoto ni haki ya baba, nikiamua namtaka mwanangu huwezi nizuia.[emoji3525][emoji3525]
Wanaume tuna mambo mengi huwa tunapuuzia tu kwa sababu ulezi kwa mwanaume si jambo dogo, ndio maana tunaachia mama zao, mimi nikikaa na watoto tu siku nzima zile tabu zao nakuwa hoi.
Lakini nikiamua namchukua mwanangu nitamchukua tu. Tena nikijua umeanza kupandikiza sumu ndio kabisa.
Mtoto wako anaweza akalelewa na mwanaume mwingine na wewe ukalelea wa mwanaume mwingine ukijua ni wakwako pia.
Ndio nashangaa sana hiyo sio right mtoto abaki na mamaye hata iweje
Nashukuru Mungu sina mtotoSio kwa sisi wanaume tuozaliwa kaskazini,ujinga huu wafanyieni wa Lindi, mtwara na huko kusini