Tafadhali soma hapa.....

Huu uzi umeshafikishwa malangoni pa Mbingu, amini unakwenda kupona kabisa!
 
God z greater kaka utapona tu na ukitoka tupe mrejesho.

asante dagii nimeshafanyiwa operation na sasa naendelea vizur nauguza kidonda.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kufahamu waendelea vizuri.
Naamini Mwenyezi Mungu ataendelea kukupigania.
 
Pole mamy.
Upone haraka kidonda urejee katika shughuli zako za kila siku ukiwa na afya njema.
Stay blessed.
 
nakuombea upone haraka,mungu aongoze operation yako
 

Common language kwa mwanaadamu :- unapo ugua au kupatwa na maradhi/ugonjwa, Hiyo niishara kuwa aliyekuumba anatamani umkumbuke na kuwa amekusafishia kitabu/jalada ya matendo yako hapa. hivyo You start from zero again.
pole na karibu upya katika ulimwengu huu. ubarikiwe mwenzetu.
 
ha! Amebadilika sasahivi ya kale yamepita tazama sasa ni mapya,ngoja nimuite... Mentor njoo pande hizi umthibitishie babu kwamba sasahivi wewe umeokoka na hauna tena mambo mabaya.

Babu Asprin, kwani hufahamu!??

Mimi sasa naabudu Usharika wa Azania Front...
 
Last edited by a moderator:

mmmmh pole sana mungu akutangulie
 
everlenk I wish you all the best!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…