Tafadhali soma hapa.....

Pole dada Mungu akutangulie na akutetee
 
Mwenyezi Mungu na akaongoze shughuli yote ya upasuaji maana yeye ndiye dactari bingwa wa wote. Pole sana dada na Mungu akupiganie.

Ameen,asante sana kaka.
 
Allah akupe shifaa ya mapema na akuponye in shaa allah
 
Ni maombi yangu Yesu akutetee utoke salama
 
Pole sana na nakuombea uzima. Mungu akubariki
 
Mungu akutangulie, Mungu akawe ndie daktari wako mkuu kupitia madaktari,Mungu awe nawe mpendwa.
 
Asanteni sana kwa dua na sala zenu na sasa ndo naingia chumba cha upasuaji,nimefarijika sana na kujiona niko kama na watu maelfu ,kwa kweli mmenipa moyo sana maana nilikuwa very stressed. Mungu awabariki sana na muendelee kuniombea.
 
Pole sana mkuu Bwana akafanikishe salama op.na akupe kupona kidonda haraka"......nitakurudishia afya asema Bwana wa Majeshi"
 
Asanteni sana kwa dua na sala zenu na sasa ndo naingia chumba cha upasuaji,nimefarijika sana na kujiona niko kama na watu maelfu ,kwa kweli mmenipa moyo sana maana nilikuwa very stressed. Mungu awabariki sana na muendelee kuniombea.

Tayari niko nakuombea usihofu ni jeshi kubwa liko nyuma yako nikiwemo na mimi"......ombeni nanyi mtapewa"

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…