everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Habari za asubuhi wana MMU,
Muda mfupi ujao nitakuwa nikiingia chumba cha upasuaji,nasumbuliwa na uvimbe kwenye utumbo mpana.
Tafadhali naombeni maombi yenu wana MMU wote mwenyezi Mungu awe nami,maneno yenu ni faraja na uponyaji tosha kwangu.
Mungu awabariki.