Tafadhali Rais Magufuli punguza kodi

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,281
Inawezekana Waziri Mpango hajui anachokifanya au anamuogopa Magufuli. Ukweli ni kwamba ushuru unaua uchumi wa nchi.

Wazawa, wawekezaji wa nje na ndani wanafunga biashara kwa kasi. Hali sio shwari kabisa. Bandarini na Airport watu wanalizwa.

Rais punguza kodi au Bunge liingilie kati suala hili.
 
Huyu mtukufu ndio unamshauri?unasumbuka bure ajawahi kushauriwa hata siku moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom