tafadhali naomba msaada.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tafadhali naomba msaada..

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MTOTO WA KUKU, Jul 9, 2012.

 1. MTOTO WA KUKU

  MTOTO WA KUKU JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 1,822
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  Natanguliza shukrani wakuu,naomba maelekekezo kwa mtu yoyote anaefahamu kuunga internet kwa kutumia simu ya HTC desire a8181 na kama anaweza anatumia software gani?.....msaada tafadhali.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kuunga internet kwenye computer au nini?? weka wazi zaidi
   
 3. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  kama tayari kuna apn profiles just go to MENU>SETTINGS>WIRELESS&SETTINGS> SELECT MOBILE NETWORK

  Kama haujaset access point fanya hivi: MENU>SETTINGS>WIRELESS&SETTINGS>mobile networks>ACCESS POINT NAMES> kisha bofya Menu tena halafu chagua New apn, jaza name, apn kisha save...... baada ya hapo rudi kwenye settings izo zahapo juu then utaona kwenye juu pembeni ya betri na network indicator inatokea alama E au G ina vimishale viwili ukiona ivyo fungua browser anza kusurf
   
 4. MTOTO WA KUKU

  MTOTO WA KUKU JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 1,822
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  Nashukuru sana wakuu kwa ushauri wenu....shukrani tens kwenu,kinachonisumbua mimi sio net kwenye simu Bali kupata net kwenye pc kwa kutumia simu hii HTC DESIRE A8181...please naomba msaada wenu.
   
Loading...