Tafadhali nahitaji sana msaada... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali nahitaji sana msaada...

Discussion in 'JF Doctor' started by MESSI, Apr 12, 2011.

 1. MESSI

  MESSI Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kwanza napenda kuwashukuru wanaJF kwa jinsi mnavyosaidia kuijenga jamii yetu...mimi ni mwanaume nimekuwa nikisumbuliwa tatizo la kuwahi kumaliza kila ninapofanya mapenzi na GF wangu tatizo linanikera sana naomba mnisaidie jinsi gani ya kulitatua na pia kuna wakati japo sio mara kwa mara uume huwa hausimami na kuwa firm kabisa unakua ka unalegea ivi nisaidieni jinsi ya kutatua hilo pia...
   
 2. wende

  wende JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kuhusu kuwahi kumaliza,nakushauri do mazoezi ila usizidishe. Hilo la uume kutokuwa firm ngoja tusubiri wachangiaji wengine.
   
 3. Mr. Miela

  Mr. Miela JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nitumie namba yako kwa pm ili nikupigie nikupe maelezo jinsi ya kupambana na tatizo yako
   
 4. K

  KALENDA Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Nadhani ungempa ushauri hapa jukwaani ungesaidia watu wengi zaidi.
   
 5. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Psychological problem and most likely anxiety ndio maana uume hausimami kisawasawa. Hii inawezekana na uhusiano wako na huyo GF ndio unaokupa wasiwasi. Je ni GF wako wa kwanza ktk maisha yako? Haya matatizo ni kwa huyu tu? She might be a control freak ndio maana una anxiety. Tusubiri wengine watasema nini
   
 6. MESSI

  MESSI Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  hapana sio GF wa kwanza nlishakuwa nao wengine hapo nyuma....afu tatizo la kuwahi sio kwake 2 lina mda kiasi...
   
 7. K

  KALENDA Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Mheshimiwa Miela mbona kimya, tunasubiri matibabu kutoka kwako.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  pga mazoezi na ondoa wasiwasi

  halafu wakat una do bana pumzi hivi..
  control kupumua...
  bana mdomo...
  usipumue ovyo...
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Useful tactics lol
   
 10. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hapo rahisi tuu!ukiwa una sex ukisikia unataka kufika acha kukatika!pia kama unaweza kuhamisha mawazo ingekua ni strategy nzuri!yanh una sex ila mawazo yako yapo kariakoo!utachapa 60 minutes bila kufika
   
 11. N

  Ngo JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
   
 12. BLISS

  BLISS Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijui kama niko sawa mtanisamehe kwa yoyote nitakayemkwaza!

  pole sana kaka kwa tatizo linanalokusibu mungu atakusaidia utakuwa fiti..
  hivi mimi sijaelewa iweje mtu amekuja jukwaa kama hili kuomba ushauri unamwambia mtu aku PM? huoni kama unawanyima na wengine ujuzi wa uuguzi wa kutoa huduma ya kwanza?
  mimi huwa nakerwa sana na watu wa aina hiyo mueleze mtu wazi ili nawengine wafaidike unaweza usiwe unaumwa but ipo siku yakakukuta hivyo ukafaidika na ushauri unaotolewa huku! sio mtu anaeleza shida yake wazi mtu unasema aku PM sio freshi wote tunahitaji kujifunza kwakuwa wote ni WAGONJWA WATARAJIWA! MWENZAKO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI...


  ni hayo tu, samahani kama nitakuwa nimemkwaza mtu...
   
 13. m

  menny terry Senior Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wewe ni muasherati!! Nashindwa kuelewa hii thread imeletwaje huku wakati jamaa hana mke alafu imekuwaje siku hizi kilamtu mwenye Gf hufanya mapenzi? Mwogopeni Mungu........,,..Buck 2 the topic Tafiti zinaonyesha wanaume wanao tumia muda mwingi kumuandaa mwananke huwa hawawahi kumaliza,Pili vyakula kama asali,matikiti maji,karanga,mdalasini,mihogo,samaki,husaidia kuondoa tatizo hilo.Pia fanya mazoezi hii itasaidia damu kwenda kwenye **** na kutoka vizuri kwani uume husimama baada ya damu kuzunguka vizuri.
   
Loading...