- Thread starter
- #21
Natumai wewe umeelewaUmeandika kizungu
Hawatakuelewa
Wewe ndo mtu sahii nayetamani kuwaweka kwenye mzunguko wangu wa marafiki
Natumai wewe umeelewaUmeandika kizungu
Hawatakuelewa
MkuuNatumai wewe umeelewa
Wewe ndo mtu sahii nayetamani kuwaweka kwenye mzunguko wangu wa marafiki
Haaaa, usinifukuze kiainaMkuu
Mimi ni mlevi na mpenda wanawake
Nakesha club
mumuTukiongozwa na ww shem darling,mzazi mwenyewe,mnyaama,chief of zamunda,mzee baba,don nyati ama nenee woii kesho kijiwe wapi muda wa kombe?![emoji3]
My[emoji137] [emoji137]Wanakuja.
Abeemumu
KaribuAbee
Nije wapi tafadhali,.Karibu
Huku Penye Miti(PM)Nije wapi tafadhali,.
Oh,[emoji28]sawa...naomba mapokezi [emoji91][emoji91][emoji91]Huku Penye Miti(PM)
Karibu Miss brightNa mimi nina mpango wa kuhamia moshi mpaka nije huko utakuwa umeshakuwa mwenyeji.
Hata sitoki nyumban nina stress sana shembaby[emoji23]Tukiongozwa na ww shem darling,mzazi mwenyewe,mnyaama,chief of zamunda,mzee baba,don nyati ama nenee woii kesho kijiwe wapi muda wa kombe?![emoji3]
Mimi ni mnywaji,mkorofi,nina mawazo yakukatisha tamaa mda wote,sifai kabisa mkuuMa gentlemen kama wewe natumai ntawapata
Ki ukweli ukiwa cha pombe pita kushoto kabisa, sinaga steem hizo kabisaMimi ni mnywaji,mkorofi,nina mawazo yakukatisha tamaa mda wote,sifai kabisa mkuu