MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,985
- 2,587
Kwa muongozo wa TCU sasa hivi humalizi masters au PhD bila kupublish. Ila sheria hiyo nafikiri imeanza kwa intake za 2020Samahani mkuu, naomba kueleweshwa.
Kwa mtu anaye soma masters (coursework) ni lazima achapishe andiko lake kwenye hizo journals? Au akisha maliza kuandika na aka present chuoni inatosha?