Jibu kwanza ya Deus,ni sawa na mvuta bangi akikamatwa hawezi kusema yule mvuta bangi mwingine ambaye bado hajakamatwa nae akamatwe kwanza nae ndipo atakapokamatwaHabari wana JF,
Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday Kibamba katolea mfano Mh Lowassa kuwa wakati wa kipindi chake aliingia mkataba wa kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na kuwalipa Tsh bilioni 2 bila mafanikio.
Sasa maswali kwa kibamba hivi Ni wakati wa Lowassa tu ndo mikataba ya kitapeli ilisainiwa?
Hiyo mikataba ya makinikia kusafirishwa nje ilisainiwa na kipindi cha Waziri Mkuu nani na chini ya serikali gan? Kama lengo lake Ni kuongelea mikataba ya kitapeli mbona kaongelea wakati wa lowassa Tu?
Una uhakika maneno ya dakika 10 yeye ataongea ndani ya saa 4Lowasa hafai kabisa ni moja kti ya wana siasa walioibia sana taifa hili tena kwa njia za ujanja ujanja tu
Ndio mana hata siku hizi sauti yake inazidi kupotea Maneno ya kuongea dk 10 yy ataongea masaaa 4. Mjinga Huyo mzee
Upo sawa,huyu ni mtu hatari sana sema watanzania tunapenda unafiki.Leo anawatete magaidi wa Uamsho bado watu wanamwamini!Nilishasema humu kwa mtanzania anayejitambua na asiyetanguliza maslahi binafsi na ukanda ukanda , Lowassa alikuwa wa kumpoteza na kizazi chake chote cha nyoka ili tusonge mbele. Angenyongwa na kutupiliwa mbali
Nilishasema humu kwa mtanzania anayejitambua na asiyetanguliza maslahi binafsi na ukanda ukanda , Lowassa alikuwa wa kumpoteza na kizazi chake chote cha nyoka ili tusonge mbele. Angenyongwa na kutupiliwa mbali
Mtamtetea sana luwasa lakini yule ni mbwa hasafishiki. Mungu alitusikia kilio chetu mana angekuwa rais kila kitu kimeshauzwa na ofisi zote kujaza Wachaga kuanzi igp, cdf n.k
NGO's nyingi saizi zinakufa. Dawa iliyobaki ni kujipendekeza kwa Ngosha ili upate teuzi...
Ebu fikiria "Jukwaa la Katiba" wanafanya nini kwa sasa?... Mirija ya ufadhili imekata, how can they survive?
Lowasa hafai kabisa ni moja kti ya wana siasa walioibia sana taifa hili tena kwa njia za ujanja ujanja tu
Ndio mana hata siku hizi sauti yake inazidi kupotea Maneno ya kuongea dk 10 yy ataongea masaaa 4. Mjinga Huyo mzee
Kwa hiyo utakubali lowassa ashitakiwe kama na wengine watashitakiwa? Hebu tuanze na Lowassa kwanza.Habari wana JF,
Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday Kibamba katolea mfano Mh Lowassa kuwa wakati wa kipindi chake aliingia mkataba wa kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na kuwalipa Tsh bilioni 2 bila mafanikio.
Sasa maswali kwa kibamba hivi Ni wakati wa Lowassa tu ndo mikataba ya kitapeli ilisainiwa?
Hiyo mikataba ya makinikia kusafirishwa nje ilisainiwa na kipindi cha Waziri Mkuu nani na chini ya serikali gan? Kama lengo lake Ni kuongelea mikataba ya kitapeli mbona kaongelea wakati wa lowassa Tu?
Alishawahi kuhongwa mkuu?Deus anataka ahongwe tena na Lowassa
kipindi waliposign mkataba wa kusafirisha makinikia waziri mkuu alikuwa mh Frederick Sumaye. ambaye ni mjumbe wa halmashauri kuu ya chadema. Wote mnao huko kwenu.Habari wana JF,
Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday Kibamba katolea mfano Mh Lowassa kuwa wakati wa kipindi chake aliingia mkataba wa kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na kuwalipa Tsh bilioni 2 bila mafanikio.
Sasa maswali kwa kibamba hivi Ni wakati wa Lowassa tu ndo mikataba ya kitapeli ilisainiwa?
Hiyo mikataba ya makinikia kusafirishwa nje ilisainiwa na kipindi cha Waziri Mkuu nani na chini ya serikali gan? Kama lengo lake Ni kuongelea mikataba ya kitapeli mbona kaongelea wakati wa lowassa Tu?
Ulitakiwa ukanushe kwamba Lowasa Fisadi hakushiriki kusainu mikataba ya Kitapeli? Siyo kutupa mifano mingine ya watu wengine. Hao nao watashughulikiwa kuvyao.Habari wana JF,
Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday Kibamba katolea mfano Mh Lowassa kuwa wakati wa kipindi chake aliingia mkataba wa kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na kuwalipa Tsh bilioni 2 bila mafanikio.
Sasa maswali kwa kibamba hivi Ni wakati wa Lowassa tu ndo mikataba ya kitapeli ilisainiwa?
Hiyo mikataba ya makinikia kusafirishwa nje ilisainiwa na kipindi cha Waziri Mkuu nani na chini ya serikali gan? Kama lengo lake Ni kuongelea mikataba ya kitapeli mbona kaongelea wakati wa lowassa Tu?
Huyo deus ni kichaa achana naeHabari wana JF,

Tafuteni dodoki la chuma....msafisheni tena na tena!hivi hawezi jitetea mwenyewe?kiherehere kinawasumbua tu!ajitokeze hadharani ajitetee mwenyeweHabari wana JF,