Tafadhali Deus Kibamba acha kumchafua Lowassa

Tafadhali Deus Kibamba acha kumchafua Lowassa

Habari wana JF,

Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday Kibamba katolea mfano Mh Lowassa kuwa wakati wa kipindi chake aliingia mkataba wa kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na kuwalipa Tsh bilioni 2 bila mafanikio.

Sasa maswali kwa kibamba hivi Ni wakati wa Lowassa tu ndo mikataba ya kitapeli ilisainiwa?

Hiyo mikataba ya makinikia kusafirishwa nje ilisainiwa na kipindi cha Waziri Mkuu nani na chini ya serikali gan? Kama lengo lake Ni kuongelea mikataba ya kitapeli mbona kaongelea wakati wa lowassa Tu?
We wa hovyo sana.
Kibamba ametolea mfano wa lowassa na mkataba wa kampuni ya Victoria,wewe unaleta mambo ya makanikia,jibu hoja ya Lowassa kuwapa mkataba matapeli wa victoria,mambo ya makanikia fungua thread yake
 
Lowassa ni sehemu ya mtandao uliosimika utamaduni wa kifisadi kwenye uongozi wa taifa hili. Hilo halina ubishi. LAKINI wale wote wanaomuombea kifo Lowassa huku wakilamba viatu vya JPM, JK na BWM kisha kujinasibisha na CCM "ileile" ni WANAFIKI wa KUTUPWA. Hao ndio MSIBA ENDELEVU mkubwa zaidi unaoliangamiza taifa hili taratibu. Sijui kama hata wanaelewa wanachochukia kwa binadamu Lowassa kiasi hicho ni kipi hasa. Kama vile akifa ndio huo mtandao wa kifisadi uliojengwa na hao wakuu wote na familia zao utatoweka? Pipe dream.

On the other hand, CHADEMA have to wake up to reality. It's no use being linked to that syndicate of destruction. No value-added at all. Nothing's changed with those guys whichever side they be; whichever their "ride" - be it CCM, CHADEMA, etc. For them, its just a ride - sadly, to the same shrine of national demise!
 
Lowasa hafai kabisa ni moja kti ya wana siasa walioibia sana taifa hili tena kwa njia za ujanja ujanja tu
Ndio mana hata siku hizi sauti yake inazidi kupotea Maneno ya kuongea dk 10 yy ataongea masaaa 4. Mjinga Huyo mzee
Hapo mwishoni umekosea kidogo! huyu ni mzee mtu mzima hata kama alifanya yake lakini sio vizuri kumuita mjinga, nina hakika atakuwa amekuzidi umri japo sikujui, tuwaheshimu wazee wetu hata kama tunapishana itikadi za siasa
 
Back
Top Bottom