Msomi mzuri sana, je ana machapisho?LUHENDE PIUS GERALD SHIJA MKURUGENZI MPYA WA ITIGI.
* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari.
* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).
* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.
* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.
Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.
**************************
Sema ni wana chama wa chama cha kinaniHivi,mtu anaweza kuwa Mkurugenzi bila kupitia ukuu wa Idara za Halmashauri?
ebo?Hivi,mtu anaweza kuwa Mkurugenzi bila kupitia ukuu wa Idara za Halmashauri?
Kwa kanuni zilizopo HAIWEZEKANI.Hivi,mtu anaweza kuwa Mkurugenzi bila kupitia ukuu wa Idara za Halmashauri?
Ukisikia Halmashauri wengine wanaona ni kataasisi kadogo sana, na mtu yeyote anaweza kujifunza jinsi ya kuongoza. Tukijikwaa tusiulizane nani mchawi wa maendeleo yetu. Ukiangalia CV ya huyo msomi unajiuliza, je inajitosheleza kiuzoefu?Hivi,mtu anaweza kuwa Mkurugenzi bila kupitia ukuu wa Idara za Halmashauri?
Mzee siku hizi kila kitu hadharani weka google jina lake kama utaona chapisho alilolifanya. Kwa elimu yenyewe ya mwendokasi iliyonakshiwa na kuungaunga, angejitokeza aonyeshe.Inawezekana anayo.
LUHENDE PIUS GERALD SHIJA MKURUGENZI MPYA WA ITIGI.
* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari.
* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).
* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.
* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.
Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.
**************************
Inawezekana kabisa siyo lazima awe mtumishi wa halmashauriKwa kanuni zilizopo HAIWEZEKANI.
Magufuli asipotoshwe.
Mkuu sisi wa huko chini ndo wachapakazi. Tukiamua kuwaangusha tunawaangusha tu. ni kupiga Go slow, kama hayo maendeleo anayotarajia atayapata. Na mtu akiwa na elimu kubwa akakuta anaowaongoza wanaelimu ndogo, huwa wanapenda kujipambanua ili kuficha inferiority complex zao. Kubwatu si kubwatuka. HAhahahahaha Mzee baba nanii aliyekushauri hili kakupoteza sana. Ndoto zako ulizotuaminisha mwanzoni hutozifikia. Au ilikuwa vunga tu ili tuone wewe ni wetu kumbe ndo wale wale tu?Hata iweje MAGUFULI kakosea uteuzi huu kwa sana tu. Kuna watu wamesoma Political Admin au Law au Economics na wako Halmashauri au Mikoani kama Waratibu wa Wilaya au Mikoa, ila ka waacha kachukua makada wa@CCM tu!!
Ama kweli amefanya Demotivation to employees' work morale.
Kuna hadi walimu wa Nganza Sec kawachukua, KISA MSUKUMA. Kajaza tu kabila lake.
Kuna tofauti kati ya msomi (intellectual) na mwanataaluma/mwanazuoni(academician). Machapisho kawaulize wanataalumaMsomi mzuri sana, je ana machapisho?