Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,203
- 37,554
Heshima kwenu wanajamvi,
Habari za kupigwa mnada mali (Shule ya Bakili Muluzi) za Capt John Komba zilitawala anga ya habari kwa muda wa wiki nzima.Capt Komba alikopa jumla ya Tshs 900 milioni toka CRDB na dhamana ya mkopo huo ilikuwa ni viwanja na shule anayoimiliki.Haifahamiki kama fedha alizokopa zilitumika kujenga shule hizo au zilitumika kwa kazi nyingine.
Kilichishangaza wengi ni TACADS kusaidia kulipa sehemu ya deni la Capt Komba !.Ifahamike TACAIDS ni tume ya kupambana na ukimwi Tanzania moja ya majukumu yake makubwa ni kuzuia kuenea ukimwi Tanzania (utoaji elimu) sasa mahali ninapochanganyikiwa ni kuona taasisi hii nyeti inaacha majukumu yake ya msingi na kujivika jukumu la kutoa fedha kulipa deni la Komba,fedha hizi zingeweza kuokoa maisha ya vijana wengi Tanzania.
Ni matumani yangu CAG ataimulika tume ya ukimwi Tanzania.
Habari juu ya uhusika wa TACAIDS ipo hapa => https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/680120-mali-za-kapteni-komba-kupigwa-mnada-na-crdb.html