Tabu kupata list ya watu wenye hela ili niwauzie nyumba

Murtz77

New Member
Apr 7, 2012
3
1
Leo kama mtu wa masoko, nina pata tabu sana ku target watu ambao wana uwezo wa kununua nyumba kwenye range ya milioni mia mbili. nimefanikiwa kupata kazi kutoka mwekezaji wa nje, lakini kama mtanzania na hofia kwamba mwekezaji at choka na mimi kama sianzi ku uza. Nisaidieni, kwa sababu muhimu sana kuwa na information ya aina hiyo ili kusaidia wafanya biashara kufika kwa walengwa. kwa sababu kwenye biashara mteja ni mfalme. kama huna mteja, huna biashara
 
mkuu kuna kitu kinaitwa Niche Market... "its better to sell a lot to few, than selling less to a lot."

Kwahio mkuu inabidi ujue customers wako na wapo wapi, Je Tanzania wapo wateja wa hivyo, na kama wapo unaweza kuuza nyumba kama hizo ngapi kwa mwaka ?, au je ni bora kutengeneza nyumba nyingi za range ya kiwango ambacho utapata wateja.., au kama hao wateja hawapo within the country umewaza kuanza kuwatafuta kutoka nje ?.

In short mkuu angalia market na soko linasemaje na kama umeona wateja wa range ya hio pesa haipo basi mshauri mwekezaje wako mtengeneze nyumba within a range ambayo wewe unajua wateja wapo sababu kama utapata wateja ambao wapo kama 10 wa bei robo ya hio ya sasa tayari utakuwa umevuka kiwango cha faida ambacho ungepata cha kuuza kwa mteja mmoja ambae hayupo. Provide to people what they need and you will excel.
 
Je una nyumba moja au nyingi za aina hiyo. Inavyojua nyumba kama hizo huwa haziuzwi kwa cash, bali kwa mkopo wa miaka 5 hadi 10. hata Ulaya ndo wanavyofanya. If that is the case, inabidi utengeneze kiwango cha kulipa kwa mwezi kwa miaka 5 au 10. Then tumia vyombo vya habari kama TV, radio na magazeti kutangaza. kama ni kinyumba kimoja tu unauza, basi waone watu wa real estates , ofcourse watakuchaji kamisheni..
 
Mara nyingi ulaya issue kama hii mnunuzi anachukua mortgage kutoka benki ambayo ndio inamkopesha mnunuzi (mwenye nyumba anachukua chake chote) inabakia deni baina ya mnunuzi na benki (mnunuzi anakuwa analipa kila mwezi) akishindwa kulipa tu mnunuzi benki inachukua nyumba na kile chote alichokuwa ameshatoa, ofcourse mnunuzi ata-end up kulipa pesa nyingi zaidi na benki haina hasara, akishindwa kulipa wanapata asset akilipa wanapata commission.

Kwahio hapa nadhani ni kazi ya wanunuzi kutafuta mortgage kama wanataka, lakini in this case sijui kama kuna watu wengi sana ambao wanaweza kutoa hizo pesa kwa bongo unless location ya hizo nyumba ni very hot kama katika miji wa dar na sio vichochoroni, hapo atauza. na nadhani cheap way anaweza akatangaza ndio kwenye magazeti even printing leaflets mwenyewe na kuzibandika location tofauti na maofisi ya watu

Pia asisahau anaweza kuanza kuadvertise humu JF kwenye matangazo madogo madogo
 
Usipoteze muda kutafuta watu wenye hela wakati kuna mabenki yana pesa nje nje.
 
Leo kama mtu wa masoko, nina pata tabu sana ku target watu ambao wana uwezo wa kununua nyumba kwenye range ya milioni mia mbili. nimefanikiwa kupata kazi kutoka mwekezaji wa nje, lakini kama mtanzania na hofia kwamba mwekezaji at choka na mimi kama sianzi ku uza. Nisaidieni, kwa sababu muhimu sana kuwa na information ya aina hiyo ili kusaidia wafanya biashara kufika kwa walengwa. kwa sababu kwenye biashara mteja ni mfalme. kama huna mteja, huna biashara

NIONE NINA LIST YA WATU 30,000 AMBAO WANA UWEZO, tuwasiliane at 0655 308308, email, cerengeti@gmail.com
 
Unakaribishwa 'VIWANJA NA NYUMBA' kuna thread yetu pia hapa JF, tupia details zako ufaidike chapchap!!

Asante, 'VIWANJA NA NYUNBA'
 
Back
Top Bottom