Slaa anapigania famila yake, mtoto wake mchanga, na tumbo lake, hana muda na watanzania...........Slaa hana usafi huo,tianeni moyoPamoja sana Dr. Slaa, tunakupenda, tunakuombea Mungu aendelee kukulinda katika vita hii ya ukombozi wa kweli wa nchi hii
Endeleeni kuedit picha na baada ya zoezi kukamilika tupie jamvini, Babu Slaa ameshapitwa na wakati kwa sasa; Vp kwa wana Tabora watarajie ruksa ya Kilimo cha Bangi ili Tumbaku ikose soko kabisa kama bia zitakavyo kosa soko baada ya Gongo ruksa!!!!!!!!
Unavyopamba maneno utadhan ni kweli Tabora hawana muda mchafu wa kupoteza kufanya huo ujinga.
Hii kweli nayo ni breaking news!
Tuacheni mbwebwe Tabora hakuna Chadema bana.
Tuacheni mbwebwe Tabora hakuna Chadema bana.
Wakati Mwanza wakijiandaa na mkutano mkubwa wa hadhara wa Mkiti wa Taifa, Freeman Mbowe leo, hapa Tabora kuna mapokezi makubwa sana msafara wa Gwiji wa Siasa Tanzania na Katibu Mkuu CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa unapita Tabora mjini kwenda Jimbo la Tabora Kaskazini.
Wananchi wa Tabora mjini wamejitokeza kwa wingi sana kumpokea Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ni msururu wa Pikipiki na Magari ambayo idadi yake kwa harakaharaka ni vigumu kutoa hesabu yake.
Watu wamejipanga barabara zote huku wakimshangilia Dr Slaa kwa mfano ambao ni historia.
Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene