......Kuna uhusiano wa wazi kati ya Umasikini wa watu (wa eneo fulani) na kuichagua kwao CCM.....angalia mikoa yote ambayo wameichagua ccm ndio inaongoza kwa umaskini.
na ndio hao hao kutwa wanaimba hapa kazi tu baada ya muda wanalia njaa
Wewe acha ujinga sisi huku mbeya mjini ni 5000/- mbunge ni Sungu
Pole sana we unahisi tuna shida na majina ya watu wakitaka kuondoka waondoke tu hatukumuita mtu waliomba kuja wenyewe sisi mtaji wetu ni raia ambao walotupa kura theni mkaibaWewe ni mjinga kuliko wajinga wote hoja yako ilikuwa na mashiko lakini kwakuwa umeingiza vyama naona wewe ni mwendawazimu maana umetutukana wote tulioichagua CCM na wewe chama chako ili mtu awe mwanachadema inabidi alazwe milembe miaka kumi maana mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kwenda chadema hata kidogo na wenzako wamezinduka wamerudi wenyewe bado wewe na upumbau wako Mgeja, Lembeli, Mwapachu Kingunge Sumaye wote watampigia magoti Dr. John Pombe Mgufuli Rais wa kuigwa Africa
Tumia akili, uliambiwa serikali kupangwa miladi ya maendeleo kwa wananchi ni hisani,? Wewe hujui kodi yako ndo inaleta maendeleo?Sasa hivi kuna ujenzi wa barabara kama ifuatavyo;
-Tabora mpaka Nzega
-Tabora mpaka Manyoni
-Tabora mpaka Sikonge
Reli itakarabatiwa na bado inapitia Tanora kwenda Mwanza na Kigoma.
Sasa mtoa mada wahasishe wana Tabora waikatae miradi hiyo ili ipelekwe kwa wahitaji.
MJINGA MWENZAKO ALISEMA HAWEZI IBIWA KURA HALAFU WEWE UNASEMA ULIIBIWA KURA MKWELI NI NANI? PELEKA KASKAZINI UCHIZI WAKO HUO NA KODI UTALIPA TU HAKUNA NAMNA.Pole sana we unahisi tuna shida na majina ya watu wakitaka kuondoka waondoke tu hatukumuita mtu waliomba kuja wenyewe sisi mtaji wetu ni raia ambao walotupa kura theni mkaiba
Ha ha ha haWacha waisomee naomba eenheeee ....... Ndiooooooo kila kitu ndiooooooooooooooo habari ndio hiyo hivyo vumilieni tu ndio tu mliitaka wenyewe
Sungu ndio nini?..hamna mamlaka ya manispaa au jiji inayotoza kodi ya jengo chini ya 10,000/=...endelea kukata mauno tu!Wewe acha ujinga sisi huku mbeya mjini ni 5000/- mbunge ni Sungu
Ni ujinga mkubwa zaidi kuwapelekea maendeleo watu wajinga wajinga kama huyu mtoa mada asiye na shukrani.Tumia akili, uliambiwa serikali kupangwa miladi ya maendeleo kwa wananchi ni hisani,? Wewe hujui kodi yako ndo inaleta maendeleo?
Kwanini hamkusema wakti wa kuomba kuraMaendeleo ya Tanzania yataletwa na watanzania wenyewe, na hizo tozo haznachama. hizi fluctuations ni kupaisha kasi ya maendeleo ktk eneo husika, hapo baadae kasi yake ikibaki stagnant ndio tunahaki yakutoa shutuma na kudai tozo hizo zipunguzwe au wa wajibishwe,
Vipi kuhusu viwavi bado wanatoka au msimu bado?Hakuna mbunge Mbeya anaitwa Sungu ila sisi Dodoma ni Tsh. 20, 000/=
Ni ujinga mkubwa zaidi kuwapelekea maendeleo watu wajinga wajinga kama huyu mtoa mada asiye na shukrani.
Watu werevu wange shukuru kwa kuletewa maendeleo ya miundombinu katika sehemu iliyosahaulika toka uhuru.
Kweli shukrani ya punda ni mateke!
Ni nani aliyeisahau Tabora na kuinyima Maendeleo toka Uhuru?Kumbe unakiri kwa kinywa chako kuwa CCM na serikali zake zimeinyima Tabora maendeleo,lakini kwa njaa yako na umasikini wa kipato ulionao,ukaona bora upokee kofia,T-shirt,kanga na sh.5000/pamoja na sahani ya wali maharage ili uichague ccm iendelee kukutawala.
Kweli ccm inanufaika na ujinga wa Watanzania,jitu linakiri kuwa ccm haijafanya kitu toka Uhuru,lakini haliachi kuichagua tena na tena.Endeleeni tu na ujinga wenu na mtaendelea kubaki nyuma kimaendeleo hadi pale mtakapozinduka na kuanza kudai haki zenu.
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya umasikini wa Watanzania na ccm,maeneo yote yaliyokithiri kwa ufukara wa kipato ndiyo yanayoongoza kuichagua ccm,hii ni aibu sana.
Arusha mjini,moshi,mbeya,ilemela,nyamagana n.k.haya ni baadhi tu ya maeneo ambayo upinzani umeyaongoza na kufanikiwa kuyatoa katika lindi la umaskini.sasahivi dsm ipo chini ya UKAWA sasa subiri uone maendeleo ya kweli.Nitajie sehemu ambapo CHADEMA imetawala na hakuna umasikini uliokithiri pimbi wewe