Tabora: Wabunge wa CHADEMA waachiwa kwa dhamana; Kupokewa kwa maandamano Igunga

Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.


Mwanajamvi pole sana, jitahidi kuwa mvumilivu....!
 
Picha please isijekuwa ni propaganda kama za Richard Tambwe Hiza. Napendaga sana mavitu yakuja kwa ma-evidance then mwatuachiaga sisi tupime kama kuna ma-truth au vipi!
 
watu wamewasusa CDM hakuna watu kabisa sababu watu wamekasirishwa na kitendo chao cha kumpiga DC.
 
CCM inanishangaza sana. Inakurupuka kukuza mambo madogo na matoleo yake ni kuwapa umaarufu usiokuwa wa lazima CDM,na Polisi nao kujitia kimbelembele nao wanawapaisha CDM, kesi ndogo wanaifanya kubwa hasa pale zinapowahusu wapinzani wa CCM, zile kubwa za kifisadi wanazibania au kuzichakachua. Polisi wetu wamerogwa?Kwa nini hawatumii professionalism?Gharama walizotumia kuwapelea watuhumiwa TBR kwa kesi ya kuchongwa analipa nani?Balozi wa CCM aliyekamatwa na kadi kimya, CDM wakichukua sheria mkononi kelele!

Halafu majibu yao rahisi kwa maswali magumu, ukiwauliza kwanini mmelitia taifa hasara kwa kuwapeleka hawa tabora watakujibu tunazo taarifa tulizozipata za kiitelegensia.
 
Chama cha Maandamano yasikuwa na tija yoyote kwa taifa. Vipi posho za maandamano.
Kila kichwa buku tano, Dr Slaa, Mbowe Laki saba, kila mmoja hawa kina Regia Mtema, wengine 100,000 Pipozz powerr!!
Hii hela ingetosha kutibu ndui usoni kwako kukuondolea magamba asilia! pole weweeee kichaka cha ufisadi!!
 
Chama cha Maandamano yasikuwa na tija yoyote kwa taifa. Vipi posho za maandamano.
Kila kichwa buku tano, Dr Slaa, Mbowe Laki saba, kila mmoja hawa kina Regia Mtema, wengine 100,000 Pipozz powerr!!

Hapo penye red natumaini tupo pamoja.
 
Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.
Hakuna aliyevuliwa Hijabu pale ila malaya mmoja wa kisiasa (A political prostitute) aliyezuiliwa asiendeleze uhalifu aliokuwa akiufanya. Kuuita mtandio Hijabu ni kudhalilisha vazi tukufu la kiislamu. Sheria ya nchi hii inaruhusu raia wema kumzuia mhalifu kuendelea kufanya uhalifu. Wanachadema wana haki ya kmzuia mhalifu yule aliyekuwa katika harakati za kutekeleza jinai. Matamshi yaliyotolewa baadae na Nape na January kwamba eti kuanzia sasa watawatumia vijana wao "kuwalinda viongozi" yanathibitisha dhana ya Ma DC na Ma RC kutumiwa kama vibaraka wa CCM katika harakati za kubaka demokrasia ikiwa ni pamoja na kuiba kura, jambo ambalo si sahihi kisheria. Nina uhakika pamoja na wao CCM kutamba kwamba serikali nzima "Iko mikononi mwao" wapambanaji hawa watashinda kesi ya kijinga hii. haya ndiyo matokeo ya Rais kupewa mamlaka ya kuwahonga mashoga na washkaji vyeo ambayo ni lazima watanzania tukomae mpaka madaraka haya ya kifisadi yapokonywe.
 
Magamba mtakufa na vijiba vya roho,lazima 2015 tuchukue nch,na wale mafisad wote lazima tuwanyonge kama kuku
 
images
 
Hiyo ndo inatakiwa kwa watumishi wa umma waliojigeuza wapiga debe wa CCM
 
Back
Top Bottom