Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,256
- 219,479
Hii ndio Taarifa Mpya iliyotolewa leo 22/07/2023 na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Benson Kigaila.
Waliosimamishwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora Lucas Kiberenge na Elisha Daudi ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya utendaji wa jimbo la Tabora Mjini, wengine waliosimamishwa ni viongozi wote wa Kata ya Kakola .
Wote hawa kwa pamoja wanatuhumiwa kumuandalia Mikutano Msaliti aliyetimuliwa Chadema , Hawa Mwaifunga. Huyu Mwaifunga na wenzake 18 , akiwemo Halima Mdee Walivuliwa uanachama wa Chadema kwa tuhuma za Usaliti. Kwa maana hiyo hawa si wanachama wa Chadema , kumuandalia Mkutano mtu kama Mwaifunga ni kuvunja kanuni za chama .
Hivyo basi kama kiongozi wa Chadema anashirikiana na Wasaliti hawa waliohongwa na Kununuliwa mithili ya mitumba ya Mtaa wa Kongo na yeye atachukuliwa kama Msaliti mpya na ni lazima atimuliwe .
Mimi Erythrocyte natoa onyo kwa viongozi wa Chadema Nchi nzima watakaoshirikiana na COVID 19. Kwamba hawa hata wakikununulia soda kataa , Hii ni kwa sababu USALITI NI LAANA mbaya sana ambayo inaweza hata kubabua kizazi chako cha 4 (yaani vitukuu vyako vinaweza kukumbwa na laana ya Usaliti ulioutenda)
Mungu Ibariki Chadema.