Sunbae
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 254
- 176
Moto huo umeunguza Shule ya Sekondari ya Kazima iliyopo mkoani Tabora ambapo taarifa zinaelezea kuwa ofisi ya Mkuu wa Shule , Ofisi ya Taaluma shuleni hapo pamoja na baadhi ya madarasa ndiyo yaliyoathirika zaidi.
Chanzo kinaaminika kutokea katika ofisi ya Taaluma ulianza majira ya saa 9 na hadi sasa hakuna taarifa za kujeruhiwa kwa yeyote.
Chanzo kinaaminika kutokea katika ofisi ya Taaluma ulianza majira ya saa 9 na hadi sasa hakuna taarifa za kujeruhiwa kwa yeyote.