Tabora: Shule ya Sekondari ya Kazima yaungua moto

Sunbae

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
254
176
Moto huo umeunguza Shule ya Sekondari ya Kazima iliyopo mkoani Tabora ambapo taarifa zinaelezea kuwa ofisi ya Mkuu wa Shule , Ofisi ya Taaluma shuleni hapo pamoja na baadhi ya madarasa ndiyo yaliyoathirika zaidi.

Chanzo kinaaminika kutokea katika ofisi ya Taaluma ulianza majira ya saa 9 na hadi sasa hakuna taarifa za kujeruhiwa kwa yeyote.

 
Hivi shule mbona zimeshika kasi hivyo kuteketea kipindi hiki? Ni hujuma ama?
 
Kuna jamaa angu anafundishaa hapo amenithibitishia hii taarifa. Miundo mbinu ya pale sio rafiki sanaa kwa magari ya zimaa moto kufanya kazi zake kwa ufasaha, Imejengwa kama boma.
 
Acha Uongo.
Kuna lami safi kabisa inapita Orion Tabora Hotel kuelekea stesheni inapita mbele ya shule kabisa hapa na pale.

Mkuu huyu jamaa haijui ilipo hiyo shule, tena barabara imepita katikati ya mabweni za wasichana na wavulani ( kule dining kwao) iweje gari ishindwe kupita barabara kubwa vile?
 
Back
Top Bottom