Wewe nadhani umetumwa! sinaga tabia ya kubishana wa watu ambao ni dhahiri ni few bricks short of full a load!Nadhan hiyo ni mibange! Nakupuuza tu!
Mkuu we chizi fresh, unless utuambia una viroba kichwani
Hivi wale watoto wa Wassira waliishia wapi?
Yaani chadema ukihamia kama jina lako sio la kigogo hakuna mtu anayekujali. Ndio maana watu kama Mohamedi Mtoi wanahangaika kukinadi chama lakini hawathaminiwi...
Kama hujui uwe unauliza wanaojua,Steven kahumbi alikuwa mbunge wa bukene miaka ya nyuma na anaishi Itanana,H kigwangala ni mbunge wa nzega,sema huyo lumola ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa bukene Steven kahumbi, hebu sahihisha tuelewe basi
Tatizo la CHADEMA kwa vile umejengwa kifamilia na kirafiki basi mawazo yao yanafikiri kifamia familia na kikabila kabila.
Kwa vile tu huyu kijana ni mdogo wake Mbunge Kigwangalla basi anahitaji centre stage kutokana na muundo wa CHADEMA.
Siku akijiunga mtu ambayo ni NATIONAL FIGURE, kuna wanaCHADEMA wanaweza hata kuzimia kwa fulaha.
Mpaka hapo mtakapo badilisha mtazamo, mtaendelea kuwa wapinzini wa kudumu.
Katibu Mwenezi wa CCM --- Moses Nnauye 1980s
Katibu Mwenezi wa CCM --- Nnape Nnauye 2010
Waziri wa FEDHA --- CLEOPA DAVID MSUYA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi--- Mathayo David Msuya Mathayo
President Ali Hassan Mwinyi
Waziri wa Afya --- Dr. Hussein Mwinyi
Mbunge wa East Africa -- Abdallah Mwinyi
President Jakaya Kikwete
NEC MEMBER--- Salma KIKWETE
NEC MEMBER--- PRINCE RIZONE
NEC MEMBER--- UNCLE/ANTIE
Former Minister Kighoma Malima
Naibu Waziri --- Malima
Waziri wa Ndani --- Emmanuel Nchimbi
Mkuu wa Mkoa Dodoma --- L Mchimbi
Na Wengine Wengi kama Mongella; AbdulWalil;
Kwahiyo kabla ya kusema wengine angalia NYUMBANI kwako pia kumeoza vibaya na UONGOZI wa JUU NI CULT... sidhani kama utaweza kuingia ndani ya huo UONGOZI wa JUU...
"Better a good journalist than a poor assassin."
Nashangaa kwa kuwa kuna mbunge alikuwa anaitwa Steven Kahumbi. Nilidhani labda ndiye mzazi wa huyu Lumola.
Mkuu, hujaelewa hoja ya msingi hapa. Mimi ninaongelea watu wanaokuwa ofisi moja kwa wakati mmoja kwa vyeo vya kupeana. Ninakupa dokezo kidogo kwa picha ili ulielewe somo vizuri,
Katibu Mwenezi wa CCM --- Moses Nnauye 1980s
Katibu Mwenezi wa CCM --- Nnape Nnauye 2010
Waziri wa FEDHA --- CLEOPA DAVID MSUYA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi--- Mathayo David Msuya Mathayo
President Ali Hassan Mwinyi
Waziri wa Afya --- Dr. Hussein Mwinyi
Mbunge wa East Africa -- Abdallah Mwinyi
President Jakaya Kikwete
NEC MEMBER--- Salma KIKWETE
NEC MEMBER--- PRINCE RIZONE
NEC MEMBER--- UNCLE/ANTIE
Former Minister Kighoma Malima
Naibu Waziri --- Malima
Waziri wa Ndani --- Emmanuel Nchimbi
Mkuu wa Mkoa Dodoma --- L Mchimbi
Na Wengine Wengi kama Mongella; AbdulWalil;
Kwahiyo kabla ya kusema wengine angalia NYUMBANI kwako pia kumeoza vibaya na UONGOZI wa JUU NI CULT... sidhani kama utaweza kuingia ndani ya huo UONGOZI wa JUU...
Better a good journalist than a poor assassin."
Kuelewa is always AN OPTION..hivyo siwezi kukulazimisha uelewe maana huenda mwisho wako ndo huo!Kwa hiyo hata mama akizaa na waume wengine hao watoto nitawaita MJOMBA,SHANGAZI,BABU AU SHEMEJI?! Majina ya wadogo zangu niliowataja wanatumia mmoja jina la ubatizo la baba,wale wawili wanatumia jina la kiasili la babu halafu mie natumia jina la asili la baba!Utasema si ndugu kwa sanbabu ya Surname?Watu wapumbavu nchi hii!Swali ambalo hukujibu,ni kwa nini Aitwe HAMIS ''ANDREA" Kigwangallah badala ya HAMIS ATHUMAN KIGWANGALLAR?!Alislimu baada ya kubatizwa au nani mkrissto kati ya nani kweny familia yake?! Ukipata jibu,hutohangaika kujua kwamba wale ni ndugu zake au lah! Ni bahati nzuri kwamba najivunia kuelewa nilipokuwa shule na si kudesa! Mkitanguliza ushabiki,hoja huyeyuka...Jibu maswali yangu yote ndipo utajiona kwamba kwa watu wenye fikra pevu,wewe wewe ndo umejiunga nurseryWe ndiyo umepotea kabisa. Huo siyo utamaduni wa kiafrika acha kupotosha. Utamaduni wa kiafrika ubini haubadiliki, huo ni utamaduni wa wazungu.
Ukiona watoto wa mama moja ubini haufanani ujue huyo mama ameolewa na waume zaidi ya moja.
Mwulize mamake akuambie kwann wewe na mdogo wako ni tofauti. Japo nimeona ubini umejirudia hapo.
Mkuu, hujaelewa hoja ya msingi hapa. Mimi ninaongelea watu wanaokuwa ofisi moja kwa wakati mmoja kwa vyeo vya kupeana. Ninakupa dokezo kidogo kwa picha ili ulielewe somo vizuri,
Wewe ndiyo unasahau kama kuna vyeo vya kuteuliwa na kuchaguliwa. Usinikumbushe vyeo vya kuchaguliwa ukataka kuvifananisha na vyeo vya kuteuwana na kufanya kazi katika ofisi moja kwa muda mmoja.Umewasahau watu FULANI...SAikulaumu kwa sababu kusahau ni jamabo la kawaida..Ni sharti kukukumbusha
Samwel Sitta VS Magreth Sitta-Wote wabunge(MTU na MKEWE)
Vita Kawawa VS Zainabu Kawawa-Wote wabunge(MTU NA MDOGO WAKE)
Zarina Madabiba VS Salum Madabida(Mke ni mbunge mme ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa DSM)
Jakaya Kikwete VS Salma Kikwete -Wajumbe wa NEC(MTU NA MKE)
Salma KIkwete VS Ridhiwani KikweteWajumbe wa NEC(MTOTO NA MAMAKE)
Pius Msekwa VS Anna Abdallah-Makamu mwenyekiti mstaafu na mbunge( MKE NA MUME)
Bila kusahau familia ya KARUME,familia ya Mwinyi,familia ya Sokoine, nk
Changia hoja mkuu wangu,watu kama nyie ndo tunawategemea nchi hii!
Kwenye orodha niliyokupatia nambie nani kateuliwa na nani kachaguliwa!Halafu unambie kama uliyoitoa wewe inatofauti gani?! Tofauti ninayoijua ni kwamba kwaCCM,mtoto wa fulani lazima awemo ila kwa CHADEMA ni lazima uifanyie kazi!Hata wangalikuwa ni familia moja tu mie sina tatizo nao maana wanafanya kazi ya kutetea wananchi wakati wale wa kwenu kazi yao ni NDIYOOOOOOO!Wewe ndiyo unasahau kama kuna vyeo vya kuteuliwa na kuchaguliwa. Usinikumbushe vyeo vya kuchaguliwa ukataka kuvifananisha na vyeo vya kuteuwana na kufanya kazi katika ofisi moja kwa muda mmoja.
Wewe ndiyo unasahau kama kuna vyeo vya kuteuliwa na kuchaguliwa. Usinikumbushe vyeo vya kuchaguliwa ukataka kuvifananisha na vyeo vya kuteuwana na kufanya kazi katika ofisi moja kwa muda mmoja.
Wewe ndiyo unasahau kama kuna vyeo vya kuteuliwa na kuchaguliwa. Usinikumbushe vyeo vya kuchaguliwa ukataka kuvifananisha na vyeo vya kuteuwana na kufanya kazi katika ofisi moja kwa muda mmoja.
Chadema ni kwa ajili ya wakilimanjaro na waarusha
tatizo la chadema kwa vile umejengwa kifamilia na kirafiki basi mawazo yao yanafikiri kifamia familia na kikabila kabila.
Kwa vile tu huyu kijana ni mdogo wake mbunge kigwangalla basi anahitaji centre stage kutokana na muundo wa chadema.
Siku akijiunga mtu ambayo ni national figure, kuna wanachadema wanaweza hata kuzimia kwa fulaha.
Mpaka hapo mtakapo badilisha mtazamo, mtaendelea kuwa wapinzini wa kudumu.