Aisee hata mimi hii imekoroga ubongo wangu. JF kapu kubwa sana.Umesema mdogo wa Hamis Kigwangala afu unatuambia jina la huyo mdogo wake ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI. Mbona napata shida kuelewa ni kwa nini umeita wenye majina haya ni ndugu??? mbona majina haya yanaonesha discrepancy kubwa sana?? Je ni kusema kwamba mama yao alizaa na wababa tofauti???Kama ndivyo ungeliweka vizuri kuwa ni half brother wa Hamis Kigwangwala.
Hapo kwenye Red.Huyu mdogo wa dr Hamisi Andreas Kigwangala ambaye ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI mbona majina hayakutani kabisa? Hata ya ubini wameshindwa kushirikiana? Kwamba kila mtu na baba yake?Mdogo wa mwisho wa mbunge wa nzega mheshimiwa hamis kigwangala anaejulikana kwa ina la LUMOLA STEVEN KAHUMBI leo anavua MAGAMBA na kuvaa MAGWANDA rasmi BAADA YA KUCHOSHWA na BLABLA za CCM. Lumola pamoja na MAGAMBA wenzie wazamani watakabidhi kadi ya CCM na kukabidhiwa ile ya CDM na mh. ZITTO KABWE leo saa kumi jioni kwenye viwanja vya SHULE YA MSINGI TOWN.
karibu nyumbani kamanda
Umesema mdogo wa Hamis Kigwangala afu unatuambia jina la huyo mdogo wake ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI. Mbona napata shida kuelewa ni kwa nini umeita wenye majina haya ni ndugu??? mbona majina haya yanaonesha discrepancy kubwa sana?? Je ni kusema kwamba mama yao alizaa na wababa tofauti???Kama ndivyo ungeliweka vizuri kuwa ni half brother wa Hamis Kigwangwala.
Aisee hata mimi hii imekoroga ubongo wangu. JF kapu kubwa sana.
Mdogo wa mwisho wa mbunge wa nzega mheshimiwa hamis kigwangala anaejulikana kwa ina la LUMOLA STEVEN KAHUMBI leo anavua MAGAMBA na kuvaa MAGWANDA rasmi BAADA YA KUCHOSHWA na BLABLA za CCM. Lumola pamoja na MAGAMBA wenzie wazamani watakabidhi kadi ya CCM na kukabidhiwa ile ya CDM na mh. ZITTO KABWE leo saa kumi jioni kwenye viwanja vya SHULE YA MSINGI TOWN.
karibu nyumbani kamanda
In fact nlikuwa nataka mtoa mada ajibu ili niweze kudraw conclusion ya aina hiyo. Hawa jamaa ambao jina la baba na la ukoo linatofautiana na ndugu zao wa tumbo moja ndio wale wale marepeater - walionnua majina ya wenzao baada ya kushindwa katika ngazi mbalimbali za elimu.mkuu,kama yule Naibu waziri Mulugo au Nchemba unadhani wadogo zao au kaka zao majina yapo sawa??
Nashangaa kwa kuwa kuna mbunge alikuwa anaitwa Steven Kahumbi. Nilidhani labda ndiye mzazi wa huyu Lumola.mnashangaa nini mbona kigwa mwenyewe jina lake ni SAID BAGAILE labda nae ali nunua jina
Hamtaki kukubali kuwa labda mama wa Mh. Kigwa alichakachua na huyo mbunge Steven kKahumbi na kumpata huyu Lumola?
Saidi Bagaile vs Hamis Kigwangala vs Lumola Steven Kahumbi... :twitch::twitch::twitch:
mkuu,kama yule Naibu waziri Mulugo au Nchemba unadhani wadogo zao au kaka zao majina yapo sawa??