tabora kinenuka....ffu raia na jkt..vitani

Mla cha mwenzake na chake huliwa sasa ngoja aliwe ikiwezekana avuliwe ch*p.
 
Na bado tukisema tunaonekana wendawazimu,ni heri hali ichafuke mara dufu ya hapo tujue moja na historia ya TZ iandikwe upya
 
Sasa hivi kila mtu ni mwanajeshi, wasidhani mwanajeshi ni kuvaa uniform tu, uanajeshi ni nidhamu. Ukiwa huna nidhamu unapata kipondo tu.
 
Vipi kesho wapi tena? Pinda si alisema maandamano yanamnyima usingizi? Aende kukesha club
 
Back
Top Bottom