Tabora: Karani wa Sensa Ajinyonga

kinjekitile70

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
1,072
1,421
Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo.

Mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa huku akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio hilo.

Baada ya tukio hilo la kujinyonga, vifaa vyote vya zoezi la Sensa alivyokuwa amekabidhiwa marehemu alipewa karani mwingine ambaye alianza kazi yake mara moja.

Chanzo: UTV
20220823_200957.jpg
 
Ameharibu/amepoteza kishikwambi, amekosa/amepunjwa Malipo au amesakamwa sana na vitisho ama...

Pengine majamaa yamempora pesa zake kisha yakasuka mchongo
 
Back
Top Bottom